Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,546
1596107594432.png

Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:

"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.

"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A sio habari mpya kwetu.

"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."
 
Hili ni jibu sahihi naomba moderator wafunge huu mjaadala....

Nb mbona huyo anayemtetea haonekani popote duniani zaidi ya hapo alipoanzia maisha? ......na anapomalizia.
Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.

Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
 
Pep mbona haendi timu zisizo na uwezo...
Yaani aache man city ambapo analipwa vzr aende Aston villa ambako atalipwa kidg, ile kazi sio kutafuta kuonekana bora.
Pia unaweza ukawa bora ukakosa vitendea kazi mwisho ukaonekana hauko bora
 
mbona kama ameumizwa na mafanikio ya ronaldo.

Hao anaowataja kama Individual player wameweza kuisadia timu kama Ronaldo? Maana kunawachezaji ligi inaanza mpaka inaisha hajacheza na timu ikishinda anavalishwa medali ya ushindi kama club. Aache wivu na aache "kutufokea" alisikika shabiki mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom