Team Messi Vs Team Ronaldo: Tujadiliane kwa kuweka stats

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Team Messi Vs Team Ronaldo tumalize ubishi hapa who's the G.O.A.T lets go by statistics...

Ronaldo timu yake haipo tena UEFA Ila Messi kabakia...

Je Messi ataweza kuikoa Barcelona dhidi ya Bayern kudhihirisha ubora wake ?
 
messi wa zamani ukija na kauli kama hizi ujiandae na adhabu yenye udhalilishaji ndani yake.....napita tu
mambo ya ushindani simo
1597336475112.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom