Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii kombe uwa halibebwi na mtu anayeenda faina kwa Mara ya kwanza kama kuna timu ilitoke ikafanya hivyo karibuni nikumbushwe ila ukweli mchungu hata Chelsea walipoingia kwa Mara ya kwanza...
17 Reactions
45 Replies
5K Views
Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Akili yangu huwa inapingana sana na wachambuzi wengi wa hapa kwetu.Huwa mara nyingi wanatumia hisia zaidi kwa kujifanya wao ni wazoefu na kushindwa kuangalia ukweli wa soka lilivyo. Jana wengi...
2 Reactions
4 Replies
993 Views
Nakumbuka wakati tunakua miaka ya 90s kulikua na Taifa Cup ambapo mikoa yote ilishiriki na wachezaji wakubwa pia walishiriki hii iwaweza ufufua. Vipaji na kuonesha uzalendo uliofufuka! Pia...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Hii ni vita Kati ya mashabiki wa timu moja wengine wakiamini kwenye uwezo wa kagere na wengine wakimuamini Mugalu. Vita ilienda mbali zaidi hasa wakimshutumu kocha kuwa ana kaugomvi na baadhi ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya TFF kuona Mechi za Nusu Fainali ya ASFC zinahusisha Timu Kubwa na zenye Ushawishi nchini Simba, Yanga, Azam na hata Biashara United FC tayari Krav Maga nimeshtukia Jambo. Barua kutoka...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je,inawezekana kwa ligi kuu Tanzania bara na Ligi kuu Zanzibar kuungana na kua ligi moja??
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mjue N'Golo Kante a.k.a Mkata umeme Jina kamili; N'Golo Kante Siku ya kuzaliwa; 29-March-1991 Miaka; 27 Mahali alipozaliwa; Paris, Ufaransa Urefu; Meta 1.69 (Futi 5 na inchi 6½) Nafasi; Kiungo...
4 Reactions
40 Replies
52K Views
Ndvyo ilivyokuwa uko Ruangwa Simba sc dhidi ya Namungo akitokea benchi, Bernard Morison anafunga bao moja kali sana ambalo linawezekana likawa bao bora la ligi, Morrison amekuwa mtu wa masihara...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu, Tuko Next Door Arena. Kuna mapambano ya Ndondi yanaendelea hapa. Mpaka Sasa mapambano ya Raundi nne yameisha Mawili na Yote Tz tumepoteza. Lets Go. Pambano la Tatu sasa. Naona Mkongo...
8 Reactions
223 Replies
14K Views
Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅 Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Uongozi wa Inter Milan yapata saini ya Simon Inzhagi kuwa kocha mkuu wa Inter Milan baada lazio kushindwa kuafikiana makubaliano ya mkabata mpya hivyo kuacha milango wazi kwa kocha Inzhagi...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Tff wametengua jina la Dilunga 'Hd' lililotangazwa na Kocha wa timu ya taifa na badala yake kumuweka Mudathir Yahaya kwa kusema kua lilikua limetokea kwa makosa ya kiuandishi...najiuliza hayo...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Sheria ya goli la ugenini iliyokuwa inaipa nafasi ya kusonga mbele timu iliyofunga magoli mengi ya ugenini kwenye mashindano ya UEFA hivi karibuni itaondolewa. Sheria hiyo inayotumika kwenye...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Liverpool imefikia muafaka wa kutokumsajili Ozan Kabak aliepo kwa mkopo kutoka Schalke 04. Beki huyo alisajiliwa kwa mkopo kipindi Liverpool ilipokua na majeruhi wa takriban beki zake zote za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiungo wa kati Luka Modric raia wa Croatia [emoji1082] aongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu yake ya Real Madrid mpka (2021/2022) hii itamfanya kuichezea timu hio misimu 10. Modric...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FC Barcelona wamefikia makubaliano ya mdomo na agent wa WIJNALDUM na ataitumikia timu hiyo mpka 2024. Siku zijazo atasaini mkataba wake na maongezi yanaendelea kuona namna gani atapunguziwa...
0 Reactions
7 Replies
889 Views
Timu ya Mpira ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo. Hunt alijiunga na timu hiyo kuanzia Septemba 2020, na kutokea...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom