Hakuna ubishi tena Mugalu kamuacha mbali kagere

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,552
2,000
Hii ni vita Kati ya mashabiki wa timu moja wengine wakiamini kwenye uwezo wa kagere na wengine wakimuamini Mugalu.

Vita ilienda mbali zaidi hasa wakimshutumu kocha kuwa ana kaugomvi na baadhi ya muwakilishi wa mchezaji Fulani kwenye hii vita, all in all vita hii ishaanza kutoa taswira kamili, kocha kaamua isiwe shida ngoja Leo niwaanzishe wote ili kila mtu ajionee mwenyewe,

Ama hakika kila mtu kajionea uwezo alioonesha huyu bwana mdogo kutoka viunzi vya Lubumbashi alivyoowaprove wrong watu kwa mpira mwingi alioupiga.

Nauliza kuna ubishi tena Kati ya hawa wawili.
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,172
2,000
Kikubwa ni kumwamini Kocha kwa Kila analofanya.. Akianza Kagere sawa tu na Akianza Mugalu poa tu.

Hawa watu wanatuchanganya sana
 

Van De Beek

JF-Expert Member
Sep 9, 2017
1,300
2,000
Kagere huyu sio kagere yule misimu miwili nyuma, watu wanamuamini kutokana na historia yake.
Alipewa pasi moja na mugalu nawaza mpaka saiv alikosaje.
 

Joo Wane

JF-Expert Member
Mar 14, 2007
800
1,000
Nafikiri kwenye historia Kagere ni bora ila kwa wakati huu tulionao Mugalu ni bora zaidi ya Kagere. Mugalu nafikiri anapitia kipindi kigumu cha kukosa kujiamini na hii inatokana na kukosa magoli ya wazi kabisa mara nyingi. Kadri siku zinavyoenda naona kasi ya Kagere inazidi kupungua nahisi kutokana na umri kumtupa mkono.

wa mfano leo Mugalu ameruka kama mara tatu hivi na mabeki kisha anagonga mpira kwa kichwa unaenda pembeni kidogo ya "box" lakini Kagere mara zote alionekana mzito kuwahi na kufunga pamoja na kuwa karibu. Nina hakika angekuwa Kagere yule wa misimu miwili iliyopita tungehesabu goli mbili kati ya hizo nafasi tatu.

Jambo lingine linaloshangaza Kagere huyu wa sasa hivi ni mzito, anakata tamaa na anatolewa kirahisi sana kwenye njia na mabeki tofauti na Kagere wa misimu miwili mitatu iliyopita ambapo Kagere alikuwa anuweka mpira kwenye njia yake anamlalia beki anafunga kirahisi sijui nguvu zimeenda wapi au labda zinaondoka na umri taratibu.

Lakini yote kwa yote pamoja na mapungufu yanayoonekana sasa kwa Kagere lakini haindoi ukweli bado ni mshambuliaji hatari kuliko washambuliaji wengi waliopo kwenye ligi yetu.
 

Kejuu

JF-Expert Member
May 20, 2020
646
1,000
Asilimia kubwa ya mashabiki hawajui mpira mkuu, Mugalu ni bonge mchezaji mtamu sana: ball control kubwa, accuracy ya pass ni tamu, we angalia assist za leo na impact yake kwenye game la leo. Irrespective ya magoli ya kufunga aliyonayo, contributions zake hapo mbele zina impact kubwa sana
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
8,654
2,000
Nafikiri kwenye historia Kagere ni bora ila kwa wakati huu tulionao Mugalu ni bora zaidi ya Kagere. Mugalu nafikiri anapitia kipindi kigumu cha kukosa kujiamini na hii inatokana na kukosa magoli ya wazi kabisa mara nyingi...
Atakuwa anaoiga sana nyeto
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
10,972
2,000
Mimi bado naimani na MK 14 kuliko Mugalu,Mechi moja sio kipimo cha kuona ubora mama madhaifu ya mchezaji,goli moja alilokosa MK14 Mugalu kakosa mengi kama hayo kwenye mechi tena mechi muhimu.

MK14 kakaa sana benchi kwenye mechi nyingi kuliko Mugalu,na mchezaji akikaa sana benchi hakika kiwango chake kinashuka.
MK14 apewe mechi tatu tu anarudi kwenye form hat trick zitamwagika kama zamani.
 

nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,111
2,000
Mimi bado naimani na MK 14 kuliko Mugalu,Mechi moja sio kipimo cha kuona ubora mama madhaifu ya mchezaji,goli moja alilokosa MK14 Mugalu kakosa mengi kama hayo kwenye mechi tena mechi muhimu.

MK14 kakaa sana benchi kwenye mechi nyingi kuliko Mugalu,na mchezaji akikaa sana benchi hakika kiwango chake kinashuka.
MK14 apewe mechi tatu tu anarudi kwenye form hat trick zitamwagika kama zamani.
Unaweza kutupa statistics za mechi alizocheza meddie na mugalu vpl?? Pia dakika walizocheza Kwa ujumla???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom