Utabiri: Man City anakufa Leo fainali ya UEFA Champions League

Mtoto wa Nyerere

Senior Member
May 21, 2021
129
688
Hii kombe uwa halibebwi na mtu anayeenda faina kwa Mara ya kwanza kama kuna timu ilitoke ikafanya hivyo karibuni nikumbushwe ila ukweli mchungu hata Chelsea walipoingia kwa Mara ya kwanza walipigwa na Manchester.

Dotmond vile vile

Atletica Madrid vile vile

Arsenal vile vile

Toternham vile vile

Leo Chelsea Bingwa wa UEFA
 
Mi naombea magoli 3 tu
Nakumegea siri.

Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.

Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
Fainali hiyo ndugu zangu gem isije isha droo mkabaki vinywa wazi
 
Liverpool na Manchester ngapingapi huko,nasikia eti Manchester wanaongoza ni kweli?
 
Back
Top Bottom