TFF Kuna Shida Ya Verification

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,472
2,000
Tff wametengua jina la Dilunga 'Hd' lililotangazwa na Kocha wa timu ya taifa na badala yake kumuweka Mudathir Yahaya kwa kusema kua lilikua limetokea kwa makosa ya kiuandishi...najiuliza hayo majina hadi yanamfikia kocha na anatangaza katika media officially hilo kosa halikuonekana kabla?
Je majina haya yalipendekezwa na Kocha peke yake?au walishirikiana na Tff?
Pamoja na kuomba msamaha Tff lakini ni wakati sasa waongeze umakini katika kuhitinisha mipango yake,bado tunashuhudia hadi leo ligi inafikia mwishoni bado kuna timu hazijakutana.....kuna ulazima wa Tff kujipanga vema na kujiridhisha kabla ya jambo husika kutekelezeka.
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
10,891
2,000
TFF wajipange vema kuna mambo mengine mpaka mtu unashangaa.kama hili la Dilunga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom