Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Renzo Barbera

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
694
1,000
Kwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana na mimi? Karibu kwa hoja
IMG_8636.jpg
 

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
589
500
Barca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Mpira waliocheza usiku wa hizo 5-0 unasemwa hakuna timu yoyote duniani iliyoweza kucheza hivyo.

Kabla ya hapo inatajwa Brazil ya 1970.
Na usiku mwingine wa fainali na Man u walioshinda 3-1.

Barca hiyo haiwezi tena kutokea. Ninayo video ya 5-0 dhidi ya Madrid huiangalia mara kwa mara.

Nakubaliana na mleta Mada
 

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,759
2,000
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshuka
1622222987012.jpg
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,127
2,000
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshuka View attachment 1800616
Mnataka kumpinga bure mleta mada.. Leta takwimu ya barca hiyo na barca hii ya guardiola.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom