Ozan Kabak kuondoka Liverpool

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Liverpool imefikia muafaka wa kutokumsajili Ozan Kabak aliepo kwa mkopo kutoka Schalke 04. Beki huyo alisajiliwa kwa mkopo kipindi Liverpool ilipokua na majeruhi wa takriban beki zake zote za kati. Schakle 04 inampango wa kumuuza tena kwenye vilabu vya Ujerumani au Uingereza.

Liverpool imuamua hivyo baada ya kufanya mazungumzo mchezaji Ibrahim Konate kutoka RB Leipzig na vipimo vya afya tayari. Liverpool itatoa takriban Euro Million 35 (€35M) kama pesa ya RB leipzig kumwachia mchezaji huyo (Release Clause) na siku za karibuni Liverpool itatangaza kumsaini.

SC.jpg
 
Konate, VVD, Matip, Gomez Phillips hapa kidogo tutakuwa na hauoni tofauti na last season.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom