jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 506
Je,inawezekana kwa ligi kuu Tanzania bara na Ligi kuu Zanzibar kuungana na kua ligi moja??
Kwanini hawatawaweza Simba na Yanga??Hawatawezana na simba na yanga
Wapo wahusika humu watalifanyia kaziSisi ninani mpaka tupige kura yakuunganisha ligi? Waambie wanaosimamia hizo ligi
Nimekusoma mkuuKulingana na mfumo wa serikali zetu haitawezekana maana Zanzibar wanapigania wapate kiti umoja wa mataifa, pia wanapigania wapate ushiriki wa kombe la Africa na Dunia. Hivyo kuunganisha Ligi kutakwamisha jitihada zao na wao hawawezi kukubali.
Kama unataka hili shauri serikali yetu upande wa Bara na Visiwani uunde serikali moja tofauti na hapo haitawezekana na haitakaa iwezekane
Ile Super League ya miaka ya themanini ilishia wapi? Timu mbili toka Bara na timu mbili Toka VisiwaniKulingana na mfumo wa serikali zetu haitawezekana maana Zanzibar wanapigania wapate kiti umoja wa mataifa, pia wanapigania wapate ushiriki wa kombe la Africa na Dunia. Hivyo kuunganisha Ligi kutakwamisha jitihada zao na wao hawawezi kukubali.
Kama unataka hili shauri serikali yetu upande wa Bara na Visiwani uunde serikali moja tofauti na hapo haitawezekana na haitakaa iwezekane
Wataweza kuzunguka Tanzania bara yote kucheza. Posho yao ni shida.Ligi kuu Tanzania bara iungane na ligi kuu Zanzibar na kuwa ligi moja
Au mnasemaje wananzengo?
Inawezekana mkuuWataweza kuzunguka Tanzania bara yote kucheza. Posho yao ni shida.
Ligi kuu Tanzania bara iungane na ligi kuu Zanzibar na kuwa ligi moja
Au mnasemaje wananzengo?
Ni vigeugeu tu hao, mbona channel yao ya ZBC2 wanaonesha CAF champions league na confideration cup ambapo miongoni mwa wadhamini wakuu ni 1X betting, kabla ya kickoff wanalicheza kwanza hilo tangazo kina yakhe wanaona.issue za kampuni za betting na pombe jamaa hawataki
Mtwara Kigoma je?Mkuu unajua umbali wa kutoka Pemba kwenda Kagera ? Au Pemba hadi Kigoma?
Umeshajiuliza huu ya harakati za Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa FIFA na vikwazo vya Muungano wetu kwenye harakati zao ? Umejiuliza vizuri juu ya wasivyokubali kudhaminiwa na makapuni ya Vileo , Tumbaku na kamali ? Vipi ikitokea makampuni ya kitimoto yakaamua kudhamini ligi ?
Wazo lako ni zuri ila utekelezaji wake unahitaji miujiza .
Zamani kulikuwa na ligi ya Muungano ambayo bingwa aliwakilisha nchi kimataifa .
Baada ya Zanzibar kupewa uanachama kamili wa CAF mashindano yakapoteza maana .
Kwa sasa hivi endelea kufurahia Mapinduzi Cup wakati wazo lako likisubiri miujiza kutekelezeka .
BalaaMtwara Kigoma je?
nimekusoma hapo kwenye swala la kudhaminiwa na kampuni za vilevi ,kamali wanakaza tuu Ila watakuja kuachia wenyeweMkuu unajua umbali wa kutoka Pemba kwenda Kagera ? Au Pemba hadi Kigoma?