Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

LONDON ,ENGLAND. MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Tammy Abraham amepewa jezi namba 9 ya klabu hiyo akiirithi kutoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Gonzalo Higuain. Kwa sasa jezi hiyo...
9 Reactions
34 Replies
7K Views
Huyu jamaa kwa jinsi alovyoondoka ni dhahiri yuko kwenye vita vikali sana na Simba vikiendeshwa chini chini. Hata msishangae sana kile kipigo south Africa alihusika katika kutengeneza fitna...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Pluijm amtetea Kerr Wakati kocha Yanga, Hans Pluijm akiituhumu Simba kufanya uamuzi wa kukurupuka kumfukuza Dylan Kocha wa Yanga, Han Pluijm (kushoto) akizungumza na aliyekuwa kocha wa Simba...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuelekea mtanange wa kukata na shoka leo jioni kati ya Azam F.C na Mnyama.. Yule Kocha bora kabisa kwa sasa katika VPL, Dylan Kerr, mmiliki wa tuzo kibao za ukocha na kipindi anasakata kabumbu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafasi ya 'katibu mkuu' yaani Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa Simba kwa sasa iko wazi mara baada ya aliyekuwepo awali kujiuzuru ghafla. Huu ndio wakati muafaka wa Simba sc kumpa hiyo nafasi Paul...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Akitokea Tumbaku ya Mororgoro na kujiunga na Dar Young African miaka ya 1974 na kuendelea mchezaji huyu nguli Juma Matokeyo semeni mtamlinganisha na mchezaji gani wa sasa duniani watu ambao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Kocha carlo ancelotti ameondoka EVERTON FC ya nchini uingereza na kujiunga na miamba ya soka ya nchini uhispania REAL MADRID mkataba umesainiwa mpaka mwaka 2024. === REAL MADRID YAMTANGAZA...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
110-120 miles per week!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kocha wa timu ya Geita Gold, Fred Felix Minziro amewakanusha watu wote wanaosambaza video inayojaribu kuwashawishi washabiki waamini kwamba Rais wa TFF ana chuki naye na kwamba aliukwepa kwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mchezaji wa Inter Milan ambaye ni beki matata Vidal wiki iliyopita alipata chanjo ya kuzuia kupata ugonjwa wa Corona, lakini cha kushangaza wiki moja baadae amepimwa na kukutwa ameambukizwa virusi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hawa ndo wachezaji sita(6) waliofanikiwa kuchukua makombe yote matatu English Premier League UEFA CL & World Cup
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Habari, Naona sasa kila msemaji wa club 3 za juu kwenye ligi kuu tanzania bara anasema kuwa timu yake ina nafasi ya kubeba ubingwa, nafikirii hii inakuja kwasababu hadi sasa hakuna timu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
SportPesa yaipatia Simba SC [emoji1241] hundi ya Shilingi million hamsini (Tsh50000000) za kitanzania kama pongezi kwa kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa Africa msimu wa...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kocha wa Los Blancos (Real Madrid) ameamua kuachana na timu hiyo rasmi baada ya kuwa na tetesi za muda mrefu. Klabu ya Real Madrid itatoa taarifa rasmi kuhusu kuondoka kwa Zidane. Zidane msimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kumaliza msimu (2020 /2021) bila kombe na kupoteza mchezo wa fainali, jumatano 26 mei 2021 dhidi ya Villareal; Manchester United inategemea kumwongezea Koche Ole Gunnar mkataba wa miaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ole Gunnar ni kama hafanyi vizuri ndani ya Manchester United lakini Viongozi juzi wameanza mazungumzo nae juu ya mkataba mpya, ni kama inashangaza sana si ndio? Mikel Arteta ni kama hafanyi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Akiwa kaichezea Bayern Munich mechi 448, magoli 47, pasi za mwisho 35 na kubeba makombe 27, beki huyo wa kati amesaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na klabu ya Real Madrid. Alaba [emoji1037]...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom