denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,141
Sheria ya goli la ugenini iliyokuwa inaipa nafasi ya kusonga mbele timu iliyofunga magoli mengi ya ugenini kwenye mashindano ya UEFA hivi karibuni itaondolewa.
Sheria hiyo inayotumika kwenye mashindano ya UEFA kama Champions League, Europa League, na Europa Conference League na iliyoanza kutumika tangu mwaka 1965 inatarajiwa kuondolewa kwenye kikao cha UEFA cha hivi karibuni.
Natumai na shirikisho la mpira barani Afrika CAF nalo litaiondoa sheria hiyo inayotumika kwenye mashindano ya vilabu barani Afrika CAF Champions League, na kombe la shirikisho.