MAISHA YA MSTAHAFU 😎
Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii.
Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka...
Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa...
Hao watu unaoambiwa wanamiliki sijui 51% ni stori tu za kulisha raia, ndiyo maana hata mwekezaji anawekeza kimachale tu.
Ule upande mwingine DSM si mnamjua ni nani? na kwa kuwa kule rangi ni zao...
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii.
Wamepost Singida Big Stars.
"Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye...
Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi...
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana...
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar...
Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa...
Kikosi cha Simba kilichopo Misri, katika maandalizi ya msimu mpya wa NBC Premier League na mashindano ya kimataifa, kimecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki wa kujipima nguvu na timu ya Carabat FC...
Niliwahi kusema kuwa katika mashindano ya CAF ngazi ya vilabu hakuna guarantee kuwa ukiwa kwenye rank fulani ni lazima uanzie raundi ya pili bali factor ya kufanya idadi fulani za timu zianzie ya...
[emoji599][emoji599] BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.
De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama...
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao.
Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa...
Kapteni Ibrahim Traoré ambaye ni rais wa Burkina Faso alikutana na magwiji wa soka la Afrika na kufanya mazoezi ya pamoja.
Soma pia: Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye...
Aisee hii ni beki ya kushoto kutoka Guinea inakiwasha kinoma leo kakiwasha sana game ya SA vs Guinea. Aisee Simba sports club please mleteni huyu jamaa
1. Mambo 10 yasipoanza na uwezo wa Clement Mzize itakuwa sio kweli, leo ameonyesha uwezo mkubwa sanaaaa na Kama angeongeza umakini kidogo tu angeondoka na ball leo.
2. Tanzania Ina viungo wengi...
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile...
Haiwezekani uwanja wa 60k mashabiki hawafiki hata 30k.
Serikali ilikuwa sahihi sana kujenga viwanja vya watu 30k Arusha & Dodoma.
Kwa kuzingatia hili CAF Wapeleke Mechi zote 2 za Ufunguzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.