Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Michuano ya CHAN 2024 ilizinduliwa mapema mwezi huu wa Agosti 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambayo ilipewa heshima ya kuandaa mechi ya kwanza ya uzinduzi wa...
1 Reactions
7 Replies
485 Views
Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ngurumbizi Dudumizi P.O. Box 1920 Iringa, Tanzania 13 August 2025 Head of Integrity & Compliance Fédération Internationale de Football Association (FIFA) FIFA-Strasse 20 8044 Zürich, Switzerland...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu. Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba...
18 Reactions
155 Replies
5K Views
Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti Mfano Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo Kuna...
1 Reactions
47 Replies
1K Views
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa, Tuseme ndio mcheza kwao, Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali...
2 Reactions
6 Replies
630 Views
Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Akizungumza na jembe FM Bi jasmine Razack ambaye ni msimamizi wa mshambuliaji wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania Clement Mzize amesema klabu ya yanga imegoma kumwachia Mzize kujiunga na...
2 Reactions
60 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa...
-3 Reactions
40 Replies
2K Views
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana .. Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba...
1 Reactions
17 Replies
791 Views
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Hivi jamani... 🤔 Yanga inachangia CCM milioni 100 , halafu inarudi tena kwa wanachama wake kuwaomba michango ya uanachama. Sasa cha kuchekesha ni kwamba hao wanachama sio wote wa CCM, wengine ni...
2 Reactions
5 Replies
396 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki, kwenye michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Michuano...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Shirikisho la Historia na takwimu za mpira IFFHS limetoa orodha ya vilabu ishirini bora barani Afrika ambapo 1: Pyramids 2: Al Ahly 3: RS Berkane 4: Zamalek SC 5: Es Tunis 6: Mamelodi Sundown...
0 Reactions
6 Replies
661 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko...
12 Reactions
81 Replies
4K Views
MAISHA YA MSTAHAFU 😎 Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii. Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka...
0 Reactions
7 Replies
856 Views
Back
Top Bottom