Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
2 Reactions
23 Replies
452 Views
Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona” “Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu...
14 Reactions
38 Replies
628 Views
Sikuiangalia ile mechi ya Yanga dhidi ya Gaborone, sababu nilikuwa nimeenda huki Kijijini kwetu maeneo ya Posta ndanindani kabisa ambapo mawasiliano huko kwa kweli si mazuri. Niliporudi mjini...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira. Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani. Meneja...
5 Reactions
20 Replies
422 Views
Aliyekuwa nyota wa Barcelona ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha takribani dola 665,000 [TZS bilioni...
5 Reactions
13 Replies
350 Views
  • Redirect
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza...
5 Reactions
– Replies
– Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga (21), ameweka rekodi ya dunia ya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya mpira wa miguu wa wanawake baada ya kusajiliwa na klabu ya...
8 Reactions
31 Replies
640 Views
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé, amesema anaamini anaweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu. Mbappé, mwenye umri wa miaka 27, amefunga mabao 42 katika mechi 44 akiwa na Real...
2 Reactions
3 Replies
100 Views
Hili tukio linalosambaa kwenye mitandao baada ya mechi ya yanga chanzo chake ni nini hasa? Mana yanga ilishinda, Vipi tena inadaiwa mtu wa yanga ampige kocha wa timu pinzani?
1 Reactions
12 Replies
205 Views
Timu ya Wananchi Yanga SC leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone kutokea Botswana, mchezo utakochezwa uwanjwa wa Azam Complex saa 1...
7 Reactions
160 Replies
3K Views
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF. Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
3 Reactions
36 Replies
833 Views
Yanga leo watatupa karata yao ya kwanza ya Ligi ya mabingwa msimu wa 2026/2027 dhidi ya wenyeji wao Gaborone. Vipi matoke yatakuwaje kwa Yanga weka kwenye comment hapo KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA
6 Reactions
201 Replies
4K Views
Roho zetu leo hii ni burudani sana ...Selemani Mwalimu kafunga Goli muhimu sanaa!!
3 Reactions
9 Replies
181 Views
Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa? Kilishawahi kukupata? Please...
3 Reactions
14 Replies
230 Views
Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na...
2 Reactions
18 Replies
293 Views
Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa anadakia Simba Sports Klab aka Mikia. Simba walipomtema tu amepotea mpaka sasa amekuwa kimya kabisa. Sidhani kama walimtendea haki kumwacha na kumwaribia career...
6 Reactions
32 Replies
438 Views
Moja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi. Nawasilisha.
4 Reactions
40 Replies
726 Views
Kuna wadau waliomba niwe naleta utabiri wa mipira ukiacha kutoa tabiri mbali mbali,afya,taifa nk. Hatimae Leo nimefungua rasmi Uzi wa utabiri wa mikeka.
11 Reactions
95 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…