Eto'o akumbwa na kashfa ya kula billion 1 ya malipo ya mechi

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,112
Aliyekuwa nyota wa Barcelona ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha takribani dola 665,000 [TZS bilioni 1.7], zilizohusishwa na malipo ya mchezo wa kirafiki kati ya Cameroon na Urusi mwaka 2023.

Eto’o, ambaye amekuwa akiongoza Fecafoot tangu mwaka 2021, anachunguzwa baada ya nyaraka kuripotiwa kuonesha kuwa fedha hizo ziliagizwa kutumwa kwenye akaunti yake binafsi katika benki nchini Qatar.

1789128071569.png

Soma pia kuhusu Samuel Eto'o
 
Hiyo taarifa ipo wapi sasa mtoto mzuri Halima?.
 
Waswahili tukoje? Mbona mambo yote mabaya ni kwetu tu hadi hata uchaguzi tu ambayo ni zoezi la kuhesabu moja, mbili, tatu, nne, tano nk eti hatuwezi.😛😛😛😛😛

Halafu tunadai Sovereignty. Very stupid.
 
Dah. Waafrika na ufisadk ni hatari, enzi zake huyu timu ya taifa kwao aliibeba sana kwa michuzi yake, au ndio anajilipa nini
 
Aliyekuwa nyota wa Barcelona ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha takribani dola 665,000 [TZS bilioni 1.7], zilizohusishwa na malipo ya mchezo wa kirafiki kati ya Cameroon na Urusi mwaka 2023.

Eto’o, ambaye amekuwa akiongoza Fecafoot tangu mwaka 2021, anachunguzwa baada ya nyaraka kuripotiwa kuonesha kuwa fedha hizo ziliagizwa kutumwa kwenye akaunti yake binafsi katika benki nchini Qatar.

Soma pia kuhusu Samuel Eto'o

Subiria huyu wa kwetu akitoka TIFUTIFU halafu utakuja kuniambia amelamba ngapi....Mwamba kutoka Babati anajilia zake kimya kimya... ukistaajabia ya Etoo utayaona ya huyu Mfurukutwa wa Msimbazi...inaweza Kuta kalamba Bilioni 100
 
Waswahili tukoje? Mbona mambo yote mabaya ni kwetu tu hadi hata uchaguzi tu ambayo ni zoezi la kuhesabu moja, mbili, tatu, nne, tano nk eti hatuwezi.😛😛😛😛😛

Halafu tunadai Sovereignty. Very stupid.
Mkuu Imeloa ufisadi hauna rangi.
Aliyekuwa Rais wa FIFA Sepp Blatter, aliyekuwa rais wa Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michael Platin na aliyekuwa rais wa Shirikisho la soka la nchi ya Qatar na bara Asia AFC Mohamed bin Hammam hawa wote wametimuliwa na kufungiwa vipindi tofauti kujihusisha na mchezo wa soka kwa kashfa ya rushwa ndani ya FIFA.

Rais wa zamani wa FIFA Joao Havelange naye aliwahi kupata kashfa ya ufisadi kwa kushirikiana na mume wa bint yake (mkwewe) ambaye pia wakati huo alikuwa rais wa Shirikisho la soka la Brazil Riccardo Teixeira.
Wawili hao walituhumiwa kufuja pesa za FIFA.
Hao wote ni wazungu mmoja kati yao mwarabu, hakuna mwafrika hapo.
Kwa kifupi ufisadi hauna rangi.
 
Eto yupo hapo kwa ajili ya kupiga pesa ty malipo ya mechi yote walilipa kwenye account yake binafsi na si ya chama cha mpira.
Rais wa FIFA yupo na Fill's kwa sababu ya kura yake moja ila anajua ana madudu mengi sana hana tofauti na Malawi na zile pesa zao za fine kwenye mechi zinavyotafunwa bure.
 
Mkuu Imeloa ufisadi hauna rangi.
Aliyekuwa Rais wa FIFA Sepp Blatter, aliyekuwa rais wa Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michael Platin na aliyekuwa rais wa Shirikisho la soka la nchi ya Qatar na bara Asia AFC Mohamed bin Hammam hawa wote wametimuliwa na kufungiwa vipindi tofauti kujihusisha na mchezo wa soka kwa kashfa ya rushwa ndani ya FIFA.

Rais wa zamani wa FIFA Joao Havelange naye aliwahi kupata kashfa ya ufisadi kwa kushirikiana na mume wa bint yake (mkwewe) ambaye pia wakati huo alikuwa rais wa Shirikisho la soka la Brazil Riccardo Teixeira.
Wawili hao walituhumiwa kufuja pesa za FIFA.
Hao wote ni wazungu mmoja kati yao mwarabu, hakuna mwafrika hapo.
Kwa kifupi ufisadi hauna rangi.
Ni kweli kabisa ni sawa na kusemea kuhusu dhambi kwamba haina cha rangi lakini ukweli unabaki pale pale kwamba kwa waafrika ni zaidi.

Angalia hata nchi zetu, zimejaa kila aina ya rasilimali tofauti kabisa na Ulaya au Asia lakini kwa sababu ya hulka ya kiafrika eti sisi ndio maskini wa kutupwa kuliko hao wengine.😧😧😧😧
 
Mtu anayetoa pesa yake mfukoni kugharamia Posho za wachezaji wa timu ya taifa mwezi mzima.

Wanapolala juu yake.
Na kuto zawadi za Bei mbaya kama magari unamlink na hela mbuzi kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom