FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
18,911
Reaction score
31,638
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.

Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea nyumbani wakiwa na faida ya bao moja huku wakilenga kukamilisha kazi na kusonga mbele.

SIMBA SC 🆚 M. WANDERERS
📅 Jumapili, 13 Septemba
🕙 Saa 10:00 jioni

Nani kusonga hatua inayofuata?

Simba tayari wameachia Kikosi cha Kwanza kikowa kimejaa mastaa wao

1789301585327.png
Updates...
Mpira umeanza kwa kasi kidogo hapa.

07'
Chamaaaaaaaa anaipatia Simba goli la kuongoza hapa.
Simba wanapata goli safi kabisa hapa.
1-0

15'
Mpira unaendelea hapa, bado Simba yupo kwenye umiliki wa juu kabisa.
1-0

20'
Simba wanapata free kick inapigwa na Maema haileti madhara yoyote kwa Wapinzani.
Mpira unaendelea
1-0

27'
Libassseeee anaipatia Simba goli safi la pili,
Anapokea pasi safi kutoka kwa Mpanzu...pasi bora sana.
Perfect Perfect....
2-0

33'
Mpira unaendelea bado umiliki kwa kiasi kikubwa upo kwa Simba.
Mpira unaendelea
2-0
AGGREGATE
3-0

34'
Chamaaaaaaaa....
Goooooooooooal la tatu linafungwa kwa uzuri kabisa hapa.
Mpira ulipigwa na Anice Auora kipa wa Might Wanderers anatema, unakutana na Chama anatupia chuma cha tatu.
Mpira unaendelea
3-0
Aggregate
4-0

43'
Might Wanderers wanapata penati.
Wanafunga goli lao la kwanza kupitia mkwaju wa Penati.
Mpira unaendelea
3-1
Aggregate
4-1

Half Time.
Simba 3 - 1 Might Wanderers
Aggregate
4-1.

48'
Mpira unaendelea kipindi cha pili,
Might W wanasogea sogea kwenye lango la Simba
Mpira unaendelea
3-1

52'
Might W wanapata freekick nje kidogo ya 18. Ni nje kidogo tu ya 18.
Wanapiga inagonga besela wanakosa goli.
Mpira unaendelea
3-1
Aggregate
4-1

69'
Libaseeeeeee Gueye....
Anatupia chuma cha 4 hapa.
Mpira unamtatiza kipa wa Might W.
Mpira unaanzia kwa Doumbia, Anice Oura anaupeleka kwa Libase Anatupia chuma cha 4.
4-1
Aggregate
5-1.

74'
Mpira bado upo kwenye umiliki wa Simba.
Wanapigiana pasi nzuri hapa
What a good football.
This is Simbaaaa
4-1
Aggregate
5-1

88'
Keletsooooooo.
Goooooooal
Chuma cha Tano simba wanaweka msumari wa Tano hapa.
Ilikuwa move kali sana kutoka upande wa Kushoto kwa Mgunda.
Ikamkuta Keletso akatupia chuma.
5-1
Aggregate
6-1

90+3'
Chumaaaaaaaaaaa...
Morice Abraham anaipatia timu Simba bao la 6 hapa.
Mgunda na Keletso wanashirikiana vizuri kabisa...
6-1
Aggregate
7-1.
1000991908.jpg

FULL TIME
SIMBA 6 - 1 Might Wanderers
Aggregate
7-1
 
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.

Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea nyumbani wakiwa na faida ya bao moja huku wakilenga kukamilisha kazi na kusonga mbele.

SIMBA SC 🆚 M. WANDERERS
📅 Jumapili, 13 Septemba
🕙 Saa 10:00 jioni

Nani kusonga hatua inayofuata?
 
Mighty Wanderers mkikaza matacle mnaweza kuweka historia kama ile ya UD Songo na Jwanang Galaxy.
 
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.

Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea nyumbani wakiwa na faida ya bao moja huku wakilenga kukamilisha kazi na kusonga mbele.

SIMBA SC 🆚 M. WANDERERS
📅 Jumapili, 13 Septemba
🕙 Saa 10:00 jioni

Nani kusonga hatua inayofuata?
View attachment 3669474
Mkuu naomba kujuzwa Mnyama akipita hapa anatarajiwa kukutana na nani?
 
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.

Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea nyumbani wakiwa na faida ya bao moja huku wakilenga kukamilisha kazi na kusonga mbele.

SIMBA SC 🆚 M. WANDERERS
📅 Jumapili, 13 Septemba
🕙 Saa 10:00 jioni

Nani kusonga hatua inayofuata?

Simba tayari wameachia Kikosi cha Kwanza kikowa kimejaa mastaa wao

🫡🫡🫡
Huyu Admin wa michezo aongezewe Pesa sasa.
Nimekuja kujazia nyama kwenye uzi nikakuta keshafanya mambo...

Nawakaribisha wana Simba Wote tuishangilie Timu yetu.
 
Back
Top Bottom