Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 5,035
- 4,912
Timu ya Wananchi Yanga SC leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone kutokea Botswana, mchezo utakochezwa uwanjwa wa Azam Complex saa 1 kamili usiku
Katika mchezo wa kwanza Timu hizi zilitoka kwa Sare ya goli 1 kwa 1, kwahiyo leo yoyote atakayepata ushindi wowote atafunzu katika hatua inayofuata
Ambapo Yanga akipata sare ya bila kufangana au ushindi wowote ule atasogea katika hatua inayofuata ya round ya pili kabla ya Hatua ya makundi
Katika mechi za CAF Champions League msimu wa 2025/26, Yanga SC imekuwa na rekodi nzuri sana ikiwa nyumbani. Imecheza mechi tano, ikishinda nne na kutoka sare moja bila kupoteza mchezo wowote.
Matokeo haya yanathibitishwa na rekodi za msimu wa 2025/26.
Jumla ya mechi 5 nyumbani:
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Usikose kufuatlia LIVE Updates za mechi hii ya moto......

- 🟢 Ushindi: 4
- 🟡 Sare: 1
- 🔴 Kufungwa: 0
- ⚽ Magoli ya kufunga: 9
- ⚽ Magoli ya kufungwa: 1
Yanga nyumbani – CAF Champions League 2025/26
| Tarehe | Hatua | Mechi | Matokeo |
|---|---|---|---|
| 27 Sep 2025 | Qualifiers | Yanga 🆚 Wiliete SC | 2–0 ✅ |
| 25 Oct 2025 | Qualifiers | Yanga 🆚 Silver Strikers | 2–0 ✅ |
| 22 Nov 2025 | Group B | Yanga 🆚 AS FAR Rabat | 1–0 ✅ |
| 31 Jan 2026 | Group B | Yanga 🆚 Al Ahly | 1–1 🤝 |
| 15 Feb 2026 | Group B | Yanga 🆚 JS Kabylie | 3–0 ✅ |
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Usikose kufuatlia LIVE Updates za mechi hii ya moto......