Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi...
Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026.
Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya...
Kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U20) ya Azam FC, Iddy Salim, amefariki dunia baada ya kupata ajali ya bodaboda.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Ijumaa Septemba...
MANCHESTER DERBY KUWAKA OLD TRAFFORD!
Manchester United na Manchester City leo, Septemba 13, 2026, wanakutana katika pambano kali la Ligi Kuu England (EPL), huku macho ya mashabiki wa soka...
Neno hili linatafsiriwa katika makundi makuu matatu:
1. Mashabiki Wenye Fujo na Magenge ya Soka (Football Hooligans)
Huu ndio muktadha mkuu unaotumika duniani kote, hasa nchini Uingereza na...
Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona”
“Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu...
Sikuiangalia ile mechi ya Yanga dhidi ya Gaborone, sababu nilikuwa nimeenda huki Kijijini kwetu maeneo ya Posta ndanindani kabisa ambapo mawasiliano huko kwa kweli si mazuri.
Niliporudi mjini...
Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira.
Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao...
Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani.
Meneja...
Aliyekuwa nyota wa Barcelona ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha takribani dola 665,000 [TZS bilioni...
Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
Simba SC imeanza...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga (21), ameweka rekodi ya dunia ya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya mpira wa miguu wa wanawake baada ya kusajiliwa na klabu ya...
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé, amesema anaamini anaweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu.
Mbappé, mwenye umri wa miaka 27, amefunga mabao 42 katika mechi 44 akiwa na Real...
Hili tukio linalosambaa kwenye mitandao baada ya mechi ya yanga chanzo chake ni nini hasa? Mana yanga ilishinda, Vipi tena inadaiwa mtu wa yanga ampige kocha wa timu pinzani?
Timu ya Wananchi Yanga SC leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone kutokea Botswana, mchezo utakochezwa uwanjwa wa Azam Complex saa 1...
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.