Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,795
- 27,011
Sikuiangalia ile mechi ya Yanga dhidi ya Gaborone, sababu nilikuwa nimeenda huki Kijijini kwetu maeneo ya Posta ndanindani kabisa ambapo mawasiliano huko kwa kweli si mazuri.
Niliporudi mjini ndipo nikaanza kuiangalia ile match kupitia simu ya “Mwana”.
Nilichogundua ni kwamba kumbe lile goli la kwanza pasi kabla ya kumfikua Aziz Ki, ilianzia kwa Coach Manqoba