sio inadaiwa ila yule kibonge alimpiga kweli alf akatimua mbioinadaiwa mtu wa yanga ampige kocha wa timu pinzani?
Hoja yangu kama yanga walishinda kwanini vampige? Yani sababu ya kumpiga ndiyo naitafuta.sio inadaiwa ila yule kibonge alimpiga kweli alf akatimua mbio
jiulize na wew,, ngoja tusubiri utetezi/ ufafanuziHoja yangu kama yanga walishinda kwanini vampige? Yani sababu ya kumpiga ndiyo naitafuta.
Kwa sababu ukishakuwa mtu wa simba au Yanga, lazima uwe na uwendawazimuHoja yangu kama yanga walishinda kwanini vampige? Yani sababu ya kumpiga ndiyo naitafuta.
in fact ni tukio baya na la fedheha sana, lililofanyika wakati wa timu hiyo husika ikingia uwanjani.Hili tukio linalosambaa kwenye mitandao baada ya mechi ya yanga chanzo chake ni nini hasa? Mana yanga ilishinda, Vipi tena inadaiwa mtu wa yanga ampige kocha wa timu pinzani?