Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Tafadhali mwenye uelewa na habari picha atusaidie. Walio wengi tumeshindwa kuielewa huyo mtu anaye pumzika ndani ya kinywa cha lisamaki anafikiria nini?
7 Reactions
52 Replies
7K Views
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibuni mapishi ya kibaria
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Switch iliyowekwa kwenye nyumba tokea 1965 ktk nyumba za national housing naona mpaka Leo hii switch inafanya Kazi! Ova
0 Reactions
3 Replies
2K Views
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Sura Uso Kama ulishawahi kuambiwa una uso mzuri jitafakari... Joke
16 Reactions
106 Replies
59K Views
Mwana katuni maarufu amekuja na kitendawili kipya kwangu binafsi nimetoka kapa kujua nini anamaanisha. Mwenye ujuzi na habari picha tafadhali atusaidie.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyama tamu kabisa hii...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni mwaka 1943, Nairobi. Ilikuwa kipindi cha ukoloni, na hapo ni wanafunzi wakifunzwa namna ya kuendesha gari na hayo mawe kichwani ni wasiangalie chini wakati wa kuingiza gia.
14 Reactions
43 Replies
6K Views
Anauliza hivi Arseno mnakwama wapi jamani...?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku hizi kuna ganzi na bado watu wanalia lia
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Aisee Kitambo ilikua unaeza shona pensi kwa kitambaa cha msuli!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Chuga raha sana Bablinyo..Hapo ni baada ya kukosa jax ya Guest House.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa nini isingepita moja kwa moja hiyo barabara hapo kutoka hapo kuliko wekwa alama nyekundu. Lakini wameizungusha kipi kilikuwa kinatafutwa au kukikwepa? Mimi jibu langu ninalo kichwani nataka...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Hebu sema neno moja kwa Mh. Babu wa Samunge na wateja wake.
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Nimekutana nae wakati naenda home Anaitwaje kikwenu?
6 Reactions
172 Replies
19K Views
3 Reactions
6 Replies
2K Views
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom