Karibuni Chakula

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Apr 30, 2019
1,037
1,968
Nyama tamu kabisa hii...
IMG_20191019_180957.jpeg
 
Chatu, nilitamani kuila nyama yake nikiwa Mufindi iringa. Jamaa angu alimwuua akamchuna ngozi, sasa ule mnofu ulinona sana, aliutelekeza tu wakati China ni very expensive food.
 
Chatu, nilitamani kuila nyama yake nikiwa Mufindi iringa. Jamaa angu alimwuua akamchuna ngozi, sasa ule mnofu ulinona sana, aliutelekeza tu wakati China ni very expensive food.
Na nyama yake ni tamu Sana kama samaki au kuku..tamu Sana..😂
 
Safi sana, hapo ni full Vitamin A, B, C, D, E hadi Z, full Riboflavin, Calcium, hadi Fe₂SO₄
 
Back
Top Bottom