Unatuandikia kiingereza ulitusomesha??
Kiding
Kwani hukuwa na somo la kingereza darasani kwako kuanzia la 3? Au ulikuwa mbumbumbu mzungu wa reli[emoji848]
Kikatuni chako hakina adabu. Hakiwanyooshei middle finger hao wenzake tu inatuhusu hadi sisi watazamaji.
Dada si nimeandika kidding hapo chini