Madaktari wa meno miaka ya 1800

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,669
Siku hizi kuna ganzi na bado watu wanalia lia
_IMG_15715086562196632.jpeg
_IMG_15715086447723691.jpeg
_IMG_15715086342732758.jpeg
 
Ha ha shukran mkuu kwa mi nilofanya sijui " root" ya kuweka meno kama 5 ningekimbia
 
Jirani yangu hapeleki jino hospital, anaweka magadi kila siku linameguka bila maumivu hadi linatoka lote, Mimi sijajaribu ila nimeona akifanya hivyo
 
Back
Top Bottom