Mafunzo ya udereva kipindi cha ukoloni

Mafunzo ya udereva kipindi cha ukoloni

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Ni mwaka 1943, Nairobi. Ilikuwa kipindi cha ukoloni, na hapo ni wanafunzi wakifunzwa namna ya kuendesha gari na hayo mawe kichwani ni wasiangalie chini wakati wa kuingiza gia.

IMG_15716004105220787.jpeg
 
Wakati unajifunza kuna wakati unasahau upo gia namba ngapi hapo ndo mzozo unapoanza unataka uangalie kirungu cha gia lakini mwalimu kafunga kitambaa
Mi nilikuwa nachoka namna ya kuzipunguza hizo gia hasa kama nakaribia kwenye foleni. Mana teacher anakwambia zipunguze mpaka ukikakaribia magari mengine uwe umefika gia namba moja. Aisee.
 
Humu kila mchangiaji anajuwa kuendesha gari, hadi mdomo wangu umebaki wazi...teh
Duh mkuu yaani unshangaa watu kujua kuendesha gari?? Unatokea mkoa gani??
Maana mimi gari nimejifunza toka niko form two wakati nyumbani mpaka leo hakuna gari....
Mshkaji mwenye gari alikua analiiba kwao anakuja tunaendesha..

Sasa mkuu sijui unekulia wapi hadi kushangaa watu kujua kuendesha gari wakati magari yamejaa kitaa
 
Nashangaa sana mkuu, yaani huku kwetu hata gari linapita mara moja kwa wiki wakati linapeleka wana kijiji mjini
 
Mkuu dunia ya sasa kujifunza kuendesha gari ni muhimu.
Hata Kama hauna gari.
Hapa Nyaluyeye, nitoke hadi Nyamakwenke, kisha nifike Katome, ndipo nifike kijiji cha kwanza nikiwa naenda wilayani...
Sasa hilo gari nitajifunzia wapi mkuu..!!??
Basi kama vipi, naomba nije huko Daslam uniazime gari lako nikajifunze huko Kariakoo
 
Hayo mafunzo yangenifaa. Gari limeshanishinda ila pikipiki daaaaah hasa liwe limechoka kama Sanlg au Kinglion, mwendo mchibuyu.
 
Karibu

Back
Top Bottom