dah! Mzee mambo ya kibaharia hayaendi huku watu wanakutafuta,Leo tulitarajia kisulisuli kitupeleke mlima wa Moto lkn hili lako ratiba zimebidi zigeuke.. jitokeze mzee mambo si mambo😂😂
Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku...
Wangapi wanaikumbuka hii vita ya Bosnia way back early 2000? Vita ya usaliti na kuvhonganishwa? Vita ile ya Chechnya na wachechen.... Jinsi ilivyo Ondoka na maelfu ya roho zisizo na hatia huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.