Godbless Lema: Hizi ndio sababu za mgawanyiko nchini

Vizuri sasa mumezinduka tena baada ya juzi.. nimefurahi kuwasoma munashangilia.. porojo.. mshangilieni mukijua naye anafikiria tumbo lake kwanza.. sio nyinyi munapoandika udaku na kujiumiza roho zenu.
Lema mnamuonea tuu!! Wapi aliandika kushabikia?? Mimi ni ccm but kwa hili la juzi lema mnamuonea. Kitu ambacho nilikiona kwa lema ni alikua anataka ikulu itoe maelezo juu ya ule uvumi . CCM wenzangu tunakwama wap??
 
Kawadanganye nyumb wenzio ulitakiwa kuchutama tu Mh. Lema baada ya kuingia mkenge wa Kigogo utaendelea kudharaulika tu na ubunge 2020 kwa heri ya kuonana sijui utarudi kwenye kazi yako ya zamani...!!
Nyumbu ni yale majitu yanayodhani amepatikana malaika kumbe amepatikana mtu asie stahili hata kufuta vumbi viatu vya malaika wa bwana.
 
Lema mnamuonea tuu!! Wapi aliandika kushabikia?? Mimi ni ccm but kwa hili la juzi lema mnamuonea. Kitu ambacho nilikiona kwa lema ni alikua anataka ikulu itoe maelezo juu ya ule uvumi . CCM wenzangu tunakwama wap??
Hayo manyumbu hayawezi kukuelewa.Ni mashetani yenye sura na muonekano wa kibinadamu lakini rohoni ni mashetani/maibilisi kwa asilimia 100.

Ni majitu yanayothamini vyeo kiasi kwamba yanajikomba na kuweka utu pembeni.Hii mijitu ni mishetani ya kiwango cha juu mno japo utayakuta kwenye nyumba za ibada eti yanaenda kusali.

Hii mijitu ni zaidi ya nyoka aliemdanganya Eva kwenye bustani ya Edeni.
 
Nyumbu ni yale majitu yanayodhani amepatikana malaika kumbe amepatikana mtu asie stahili hata kufuta vumbi viatu vya malaika wa bwana.
Unajua wewe ulizoea kufuta viatu vya Mh. Lowassa sasa amekukimbia ndiyo maana una stress ya kufa mtu. Pole!
 
Lema mnamuonea tuu!! Wapi aliandika kushabikia?? Mimi ni ccm but kwa hili la juzi lema mnamuonea. Kitu ambacho nilikiona kwa lema ni alikua anataka ikulu itoe maelezo juu ya ule uvumi . CCM wenzangu tunakwama wap??
Wewe ni nyumb kama hao ndugu yako nenda kwenye tweets za Kigogo2014 na A Mh. Makonda utaona Mh. Lema alichokuwa ana tweets ila kama unamapenzi na huyo Lema sawa
 
Back
Top Bottom