Kazeeka tangu enzi za Nyerere hadi leo na ndiye baba mkwe wa Aika mke wa Nahreel.Huyo Mkono nasikia yupo Hoi.
naona waliotumia kikombe cha babu wote ni kama wana CCM wenzangu vile.... hivi kuna kiongozi yeyote kutoka upinzani aliyeshiriki hii "sakramenti takafujo"??Hebu sema neno moja kwa Mh. Babu wa Samunge na wateja wake.
View attachment 1121157
View attachment 1121159View attachment 1121160View attachment 1121161View attachment 1121162View attachment 1121163View attachment 1121165
Jiwe nae ndani
Masikini captains komba alipewa ambayo haijaiva vizuri kwenye moto
RC(Arusha/Dar/Mwanza/Mbeya) Abaas kandoro na RC(Shinyanga) Brigedia Generali Dr. Yohannas BaleleDaa..
Kuna wengine hapo marehemu..
Mungu awalaze pahali pema roho zao
Kweli kabisa mkuu lakini kuna wengine walipona kabisaHuyu mgonjwa alikuwa na matatizo. Imani yake haba. Kikombe cha Babu kulikuwa kiimani zaidi