Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Kwa nini isingepita moja kwa moja hiyo barabara hapo kutoka hapo kuliko wekwa alama nyekundu. Lakini wameizungusha kipi kilikuwa kinatafutwa au kukikwepa?
Mimi jibu langu ninalo kichwani nataka nione na maoni yenu je yatafanana na yangu?
Mimi jibu langu ninalo kichwani nataka nione na maoni yenu je yatafanana na yangu?