Hii ndo tofauti ya sura na uso

Hii ndo tofauti ya sura na uso

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398
Sura
annnn.jpg

Uso
A8m4A13CUAAuUtu.jpg

Kama ulishawahi kuambiwa una uso mzuri jitafakari...
Joke
 
Dah! Kila mmoja na chaguo lake maswala ya kuota kukabwa,kukimbizwa,kupigwa nitabaki nayasikia kwenu
Na maswala ya kulialia umechapiwa mara unapika, mara mshahara hautoshi, mara mke wangu jeuri tutayasikia kwako
 
Ila Hugo mwenye USO anaonyesha ndiye mwenye tabasamu linaloashiria ana furaha maishani.
Usije shangaa mwenye SURA kusikia kanywa sumu eti ana msongo wa mawazo!
🤔🤔🤪🤪
 
Back
Top Bottom