Breakfast yangu ya mchana

kid ink tz

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
307
320
Karibuni mapishi ya kibaria
IMG_20191022_151028_5.jpeg
 
Hao samaki ukiwala yabidi ulimi uvae MIFUPA PROOF

otherwize utahitajika utafune slowly but sure yani hao samaki

ukiwa unatafuna unatafuna step by step ukitingishika tu ulimi Umekula nchale
😂 😂 😂
Why are you this crazy Controller???
 
acha tu sweetie

hujawahi agiza hao viumbe nadhani

hao mwili wao uko made up with mifupa 81% minofu ni 19% tu

ukila chakula mwanzo mpk unamaliza hujala nchale (utakua na kipaji cha utafunaji)
Sasa si bora tu usiwakule jamani? Vile navyopenda kula halafu nianze kula kwa wasiwasi? Ama ndo zile za 'born to suffer'!?? 😂 😂
 
'born to suffer'!?? 😂 😂

kumbe unaelewa eeh

hao raia ukiwataka labda uwale wakiwa kau kau wamekaangwa

mpk ukmvunja analia kama clips krwichuuuu hapo ndo kidogo utakula kwa amani

ila ukileta mbwembwe za upishi wa baharia hapo juu bora tu ukila usiwe na haraka

uwe zako mpole kuanzia utafunaji mpk process nzima ya umezaji
 
Haha, eti krwichuu, unaonekana una ufundi nao maana siyo kwa hiyo 'eksipiriensi'..!!
 
Back
Top Bottom