Nimeona hii kwa blog ya jamii na wabongo wengi wakawa wanamponda dogo eti yeye hana nidhamu kwavile anaamukia wakubwa na mkono mmoja mfukoni. Nyie waungwana mwaonaje hili dogo kafanya kosa au...
Hali ya sasa kwa Babu ipo shwari ukifika inakuchukua muda mchache kupata kikombe kisha unageuza. Safari ya magari mengi kutoka Arusha Mjini ni usiku na kunako alfajiri upo kwa Babu..ukiweza...