Kilimanjaro kempinski usiku na mchana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro kempinski usiku na mchana

Discussion in 'Jamii Photos' started by NDINDA, Jun 16, 2011.

 1. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
 2. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Hotel nzuri lakini kwa ukubwa wa hiyo hotel wangetafuta GYM designer, it looks more like lounge.
   
 3. N

  Ngoswe11 Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah kitu imetulia sana hii
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acheni kukurupuka uliza Wazawa ndani ambao ni wafanyakazi wanafaidi nini?
   
 5. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  wazawa ndani wanafaidi elimu wanayopata kwa wanaowamanage ambao wengi ni wageni, askuambie mtu katika hospitality industry unyenyekevu kwa mteja unaotakiwa mbogo wa kawaida bado sana kuufikia, angalia uwanja wa ndege, wafanyakazi wana nyodo utafikiri wapo majumbani kwao, wakati katika maeneo mengine watu wanajifunza hadi jinsi ya kutabasamu mbele ya mgeni, nilikua pale mwaka jana brother wangu ni mlinzi kk security pale , nilipita mlango wa nyumba kwenda kuonya macho mpaka kwele level 8, baa matata kule juu, hayo hapo chini kabisa kulikua na mfanyakazi mgeni, yaani management toka level ya chini ni mgeni, je ina maana watanzania wanaonewa kwa kutopewa kazi au ni kwamba hawawezi au hawapendi wenyewe? niliona wafanyakazi wengi si wazawa, ila pamoja na kuwa mimi sikua mgeni pale ila tuu nimeenda kutembelea, nilikaribishwa kila eneo kupiga picha bila tatizo , kumtosheleza (satisfyi customer)mteja katika hospitality industry or service industry ni vigumu mno kwani kufanya experience yake iwe imetoshelezwa kunaanzia mbali sana, mfano mgeni huyu amakua katika huduma nzuri toka alipotoka ila tu akikumbana na kakitu kadogo tu kanawaweza kuharibu experience yake yote ya safari, hivyo basi unyenyekevu kwa wafanyakazi kwa mgeni ni lazima uzingatie mambo mengi, ndandhani hao wafanyakazi wasio wazawa wanawafunza chochote wazawa, na ipo siku wazawa watakomaa na hawatohitaji wageni tena kufanya kazi ambazo wanaweza kufanya au ambazo ni lazima wazawa wafanye, kusimamia wafanya usafi na wabeba mizigo hawahitaji mgeni ila alikuwepo , nina experience, maoni hapo juu ni IMO
   
 6. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kaka sekta ya utalii si kazi rahisi! Wabongo wanapenda sana kulalamika, lakini bado hawapo tayari kufanya kazi! Kufanya kazi ni kazi sana! Kunahitaji ufanye kazi kwanza ya kuweza kufanya kazi, hasa hizi kazi za hospitality!
   
 7. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  ulitaka iwe gesti??
   
 8. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  mkuu hapa umenena
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Vipi unafanya kazi humo? I run a small lodge, WABONGO WENGI WANADHARAU, WALALAMISHI, NI WEZI.
   
 10. b

  baba koku JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wazawa wako wengi pale.Hata vyakula vingi ni vya kitanzania kama ugali, kisanvu, dagaa wa kigoma. Actually suppliers wao karibu wote ni Watz.
   
 11. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hapo mahali Reginald Mengi anapaogopa kama Ukoma,
   
 12. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  kwa nini mkuu?
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Halafu uliiona hiyo Hoteli ilivyokuwa ya umma wakati wa nyerere, nyang'anyang'a, unapishana na panya buku Simba Grill. Zee lile limejuwa kuiuwa nchi.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Mengi si walimchakachua kwenye mchakato wa kuinunua,ana machungu sana.Lakini angemudu?
   
 15. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  oh , nimekupata mkuu
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Si aling'ang'ania apewe yeye.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Hakuchakachuliwa alikuwa hana vigezo.
   
 18. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Zamani kempiski ni kali zaidi ya hii
   
 19. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Acha vyote hiyo camera iliyotumika kupiga hizi picha nadhani ni ghali sana kwa resolution hii hiyo kamera natamani ingekuwa yangu kwani hata uchafu unageuzwa maua.
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Uzawa si kigezo?
   
Loading...