Huu ni usahahidi tosha wa Rev. Msigwa kuhusu msafara wa Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni usahahidi tosha wa Rev. Msigwa kuhusu msafara wa Pinda

Discussion in 'Jamii Photos' started by KIMBURU, Jun 17, 2011.

 1. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  10.JPG 11.JPG msafara.JPG
   
 2. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  jf kiboko
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pinda atajibu nimeona kisha inapotezewa si wako madarakani
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Duu hii kibokoo huyoo kibibi chao cha jazba kitamzuiaa tena si amewekwa pale kwa kazi maalum?
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Duuhh Bibi Kiroboto mbona atasema iwasilishwe kwa Maandishi na sheri haitachukuwa mkondo wake kwa kuwa Magamba wapo juu ya sheria lakini mwisho wao unakaribia. Bi Kiroboto Bi Kiroboto nakuonea huruma kwa kuwa umejitakia mwenyewe utumike kwa Mafisadi
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi wakuu "Mtoto wa Mkulima" si mlidai kwamba siku hizi "amejivua gamba" kupanda yale magari ya kifahari? Au hili la mbele kwenye picha hapa chini lina thamani gani wandugu?

  [​IMG]
   
 8. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Nina wasiwasi kama kweli huu ni msafara wa Pinda!!! Hivi Pinda anapanda gari lenye nembo y state house yaani yenye ngao ya Bibi na Bwana kama Rais? Hata hivyo atathibitishaje kwamba huo ndio ulikuwa msafara wa Pinda!!!!

  Tiba
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Soma hapa pia picha na maelezo vinapatikana!
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mnataka waziri wenu mkuu atembelee bajaji?
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yeye mwenyewe alizikataa VX, hakulazimishwa! Pia msafara wa magari zaidi ya 50 ndugu, mmmmh! Tena usinikumbushe ule msafara ya kumpekeka Mbowe Arusha ulivyogharimu TSh 50m/-! Kweli viongozi tunao!
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Lord Justice tafadhali ondoa hiyo misquotation yako ya Qurani.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ishu ya Lema na Pinda iliishia wapi? Mbona huyu mama anamuwekea mtoto wa mkulima maisha magumu kiutendaji?
   
 14. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sio mis-quotation! Hata hivyo siiondoi! Pia usituondoe kwenye hoja!
   
 15. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Rev. Msigwa, nimependa pale alipothibitisha kuwa "SERIKALI YA TANZANIA INAUA WATU, tena akatoa mfano wa nyamongo na arusha".... Huyu mbunge kiboko!
   
 16. paty

  paty JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  huyu mzee atamwaga machozi muda si mrefu.....fisadi kabisa
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hii migari yote inaenda wapi? nchi sio maskini hii
   
 19. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sitaki kuamini kama hii ni Tanzania, kidogo nifikirie mkuu wa nchi anatoka nje ya Damascus, au mbabe akirudi zake Tripoli kutoka Misrata.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Lukuvi alisema PM amekataa VX anatumia GX kupunguza gharama
   
Loading...