Biriyani

Biriyani

zayat

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
337
Reaction score
42
biriyani msosi wa nguvu

attachment.php

Attachments

  • biriani.JPG
    biriani.JPG
    39.7 KB · Views: 479
Kuna Msukuma alioa binti wa Kidigo wa Tanga sasa baba yake akaja kutoka Misungwi binti akampikia biriyani mzee akala baada ya muda akauliza chakula kitakuja saa ngapi ? akimaanisha ugali,ye alidhani lile biriyani ni la kupunguza njaa wakisubiri mlo wa ukweli hahaha!
 
jmn biriyani tamu sn hasa ukute limewekwa na pilipili daaah ucpime
 
Hiivutii hata kidogo. Uikute imepikwa kwa na kupakuliwa kwenye chombo kizuri utafurahi.
 
Kuna Msukuma alioa binti wa Kidigo wa Tanga sasa baba yake akaja kutoka Misungwi binti akampikia biriyani mzee akala baada ya muda akauliza chakula kitakuja saa ngapi ? akimaanisha ugali,ye alidhani lile biriyani ni la kupunguza njaa wakisubiri mlo wa ukweli hahaha!

Acha uwongo wako wewe! Nenda Tinde wasukuma wanalima sana mpunga
 
nalitamani kwenye shughuli zetu zileee za uswazi...maisha haya jamani
 
Back
Top Bottom