Mwanaume na nguo za kubana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume na nguo za kubana.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Jun 16, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau,
  Napenda kuuliza swali maana naamini hapa JF ni darasa fulani.
  Swali nauliza: Mwanaume anapovaa nguo za kubana inaashiria nini?

  [​IMG]
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  s.h.o.g.a
   
 3. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bi kubwa tayari kakupa jibu
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Brotha gotta sugar in da tank..........
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Dah! We umezaliwa mwaka gani!? Hijui kuwa hizi ni fasheni tu, huja na kupita, sasa ungeshuhudia enzi ya kuvaa tinabuu (dingrizi za kubana) na mashati yale ya kubana (mashati ya kunguru) ungesema nini?
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Ni dalili moja wapo ya ushoga.
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  e bwana mitaa gani hii,naona totoz zimetulia sana ati
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,038
  Trophy Points: 280
  mhhhh huyo wa kushoto balaa..jamani wanawake kweli maua. sidhani km inaashiria chchte zaid ya fasheni tu.
   
 9. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mtoto sio riziki jamani halafu yuko ktkt ya mademu
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siku hizi haka ka-trend kameongezeka ila hawajui hiyo fasheni ipo driven na gays
   
 11. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu baeleze bakusikie.

  Jamani tusiwe wepesi kujudge vitu visivyo. Kama una wadogo zako wa kiume aged between 16-26 hivi unaweza elewa. Ni style wanayopendelea sasa hivi, wao wanaita tight jeans. So let them be. Zikiwachosha watavaa suti na suruali pana kama shuka za mashine za kusaga.
   
 12. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  Style my foot!
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mi sina tatizo sana na hizo nguo, tatizo langu lipo kwa hao wakina dada, yaani wameshikwa sehemu zao za nyuma na huyo mwenye kuvaa vya kubana na wametulia tu as if wameshikwa na mwenzao
   
 14. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu X-P
  Yawezekana enzi hizo mimi nilikuwa sijafikiriwa kuwepo katika ulimwengu huu, au wakati huo mdingi wangu ndiyo alikuwa anafukuzia mother. Lakini pamoja na hayo, nilieleza kuwa hapa JF ni kama darasa.........najaribu kupata uelewa kuhusu hii mada.
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mmh kwa mwananume kusimama namna hii just for pic inamaanisha something. Angalia hata vidole chini vinabinuliwa just for pose...... Hapo chini sijui na hand-bag yake!! Ama kweli kwa msemo wa X-Plaster tuliozaliwa sijui lini tulikosa mengi. Sina hakika miaka hiyo ya Dingrizi na Juliana kama kulikuwa na pose kama hizi kwa wanaume. Sina hakika maana sikuwepo, sisi tumezaliwa miaka ya CHADEMA....hivyo utashangaa kuona kuwa hatujui mambo mengi ya zamani.

  Mkuu Mwanakiji,
  Ingependeza kama ungetubandikia mambo ya kale hapa maana hatupati kwenye Wikipedia.....teeeeh...teeh
   
 16. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah! Hapa kaaazi kweli kweli
   
 17. N

  Ngoswe11 Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah mkuu mie naomba tu uniambie hii ni mitaa gani kama ni hapa bongo Darisalaam maana mhmh hizi totoz zote 2 / namaanisha KE wamenifanya niwe hoi sana kwa mihemko! Plse niambie mkuu ili niingie hiyo mitaa kupata totoz for the needful
   
 18. N

  Ngoswe11 Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mitaa gani hiyo mkuuu acha kuremba bana sisi wengine MUNKARI IPO JUU Plse tel us hata nyumba nipo tayari kuuza ili nipate hizo totoz dah! watoto mwake mwake, naona wana mikia ya nguvu huko nyuma!
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Vijana wa siku hizi wamezoea Kata K, a.k.a Mlegezo... na wanaona sawa tu, ila ukivaa tinabuli kwao ni tatizo.
   
 20. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Jamani eeenheee huyu Henry ni sh o ga
   
Loading...