Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Mapenz yanataka elimu but si wote wanaojielimisha na elimu hyo ya kuwafanya wenza wao wajione bora kwao. Kushindwa kuipata elimu hii tumejikuta 2kitumia majivuno na kuendesha love pasipo maana...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Teknolojia inapoingia kijijin kwa mara ya kwanza...mjumbe/balozi wa nyumba kumi ndiye wa kwanza kutumia...... KAZI KWELI KWELI
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://www.cnn.com/video/#/video/world/2011/06/09/vo.india.wild.elephant.cnnibn?hpt=hp_c2 Source CNN.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ama kweli mwanamke anadharilishwa sana katika tanzania yetu. Jamani akina kaka msifanye hivo nao hawa ni binadamu siyo wanyama, msifanye udharilishaji huu wa kijinsia. Ivi ananile inkya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
fashion hiyo!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kaharusi kangu wajemeni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu ni askari aliyejeruhiwa anapewa mpako wa mwisho kwani yu taabani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, akipita jirani na polisi waliokuwa wakiimarisha ulinzi katika mahakama ya Mkoa wa Arusha ambako Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipokuwa amefikishwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Maskini watoto hawa, tena wapo eneo nyeti linaloingizia hii nchi mamilioni ya shilingi kwa mwaka. Watoto wa umasaini wakiwa darasani. Nini cha kujivunia miaka 50 ya uhuru kama hali bado mbaya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
MTIZAME STAR HUYU HALAFU FIKIRIA SHUGHULI ZAKE NA BADO WAMO:A S thumbs_up:WAMJUA?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukiingia msituni, waheshimu wakazi wa huko. Sio, mara unawashia taa.....mara unawapiga indiketa na mahoni kibao! Wenye msitu hawataki hizoo!! Hasa ukikutana na mzee Jumbo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
hii ipo butiama alikuwa akiitumia tokea miaka ya sitini hadi themanini hii alijengewa na ccm hii ndio mpya alijengewa na jeshi . picha toka hapa: Ujumbe toka Muhunda
0 Reactions
3 Replies
14K Views
President Jakaya Kikwete greets retired president Benjamin Mkapa during the consecration ceremony of Bishop John Ndimbo of the Roman Catholic Diocese at Mbinga in Ruvuma Region on Sunday. Right is...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wakishangaa kamera ya mwandishi Fred Bakalemwa uko Rungwe.....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Miongoni mwa matukio ambayo yanadaiwa kutokea kwa Babu Samunge ni pamoja na wezi kushindwa kuondoka na simua au fedha wanazo kwapua eneo hilo. Jana asubuhi nilikuwa Samunge, nilibahatika kuwahi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
tatoo ya kwanza inajitisha zaidi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom