Nimejisikia faraja SAMUNGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimejisikia faraja SAMUNGE

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Jun 19, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  CIMG6382.JPG CIMG6425.JPG CIMG6461.JPG CIMG6403.JPG CIMG6401.JPG CIMG6383.JPG CIMG6385.JPG CIMG6476.JPG CIMG6444.JPG CIMG6406.JPG CIMG6405.JPG CIMG6402.JPG CIMG6393.JPG CIMG6384.JPG CIMG6448.JPG CIMG6385.JPG CIMG6385.JPG CIMG6382.JPG

  Hali ya sasa kwa Babu ipo shwari ukifika inakuchukua muda mchache kupata kikombe kisha unageuza. Safari ya magari mengi kutoka Arusha Mjini ni usiku na kunako alfajiri upo kwa Babu..ukiweza unasikilza mawaidha yake kabla ya kujimiminia kikombe.
  Msafara mrefu kwa sasa unasababishwa na wafuata huduma toka nchi za jirani hasa Kenya, Matatu toka Kericho, Nairobi Naivasha nk yanafika Samunge sasa. Fedha alizotoa Magufuri zimewezesha kukarabati barabara toka mto wa Mbu mpaka kwa babu japo vumbi ni jingi sana barabarani hasa kwa magari madogo kama saloon na Noah zinaweza kukwama kwenye vumbi.
   
 2. s

  solution JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi kimsingi vurugu zote za mwanzoni zilikuwa za nini .... !?
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  mKUU kuna KITU INAITWA Top Layer,kwa waliosoma Bodingi skul wanajua
   
 4. upele

  upele JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  means this time no action,
  Conquest-jifarjini na raha zenu mumekula nanasi bila kumenywa sasa hoo natoka damu mdomoni
  "DONT GAIN YOUR WORLD AND LOSE YOUR SOUL -bob marley
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  teh teh aka ma testa
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mnafiki mkubwa ww ulishaona wp nuru na giza vikakaa pamoja? Ww ndiyo mchawi uwezi kuwa karibu na utukufu wa Mungu au kwenye maswala yanayo muhusu mungu wakati ww ni mpinga kristo
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu babu anatibu kweli au mnapoteza tu muda wenu na Pesa zenu bila sababu za msingi????
  Mbona hakuna hata mmoja aliyejitokeza kushuhudia kuponywa na huo mti shamba wa "Babu"???????????
   
 9. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ungemsusa shehe yahya (RIP)
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yote yawezekana kwa Imani. Ukiamini utapona, haihitajim kusimama na kushuhudia kama umepona kwani hata kupitia dawa za Hospitali na maombezi ya Kidini sio wote wanapona kwa wakati mmoja. Soma hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/131013-dawa-ya-babu-kweli-inatibu%3Bwachunguzi-muhimbili.html uamini yanayosemwa.
   
 11. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  good newzzzzz
   
Loading...