Imagine yupo mbele yako.......wawili tu !!

Imagine yupo mbele yako.......wawili tu !!

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
zombie1.jpg
 
Wewe hizi picha za erotica unaziweka humu za nini? don't you remember JF RULES?
 
Yeah. I edited it and removed the other most scaring zombie. This one is at least not scary...right?
 
NOT SCARY??!!! The thing is likely to give me nightmares.....Inatisha kama nini!
 
we na we masikhara gani bana haya? sa kafanyaje huyo mtu? to bana! aaaghhhhh
 
Mzungu hatishi bwana.mnazikumbuka zile story za majini?umelala na demu kitandani mkono wake unarefuka mpaka kwenye swichi ya taa.au unakutana na jamaa mreeeeeeeeefu unaona miguu tu au zile za kinondoni makaburini,unaopoa changu unaingia naye kwenye gari katikati ya safari anatoweka gafla
 
Hiyo makeup inamfanya aonekane mrembo tu!
 
Ningempeleka hospitali. Mgonjwa sana huyo. Yaonekana kapigwa kweli.
 
ongeza nyingine mkuu naona hawakuelewa
 
Back
Top Bottom