Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wakuu, Nimeona nije hapa na hii kitu ambayo bila shaka kila mmoja wetu amewahi kukisikia au hata kushiriki ktk matumizi ya vitu hivyo kwenye sayansi ya uchawi. Mara nyingi ukienda kwa mganga...
6 Reactions
64 Replies
29K Views
Kwa mamlaka husiku. kuna gorofa inajengwa sinza mpakani karibu kabisa na ukumbi wa princess hall sinza mapambano katika uchunguzi wangu niliofanya. Wazo la awali lilikua ni kujenga guest house...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Happy New year 2022. In Fact, we start anything from a particular point. Sometimes a starting point could hardly be articulated due to a failure to track it earlier in its Development Circle...
2 Reactions
1 Replies
695 Views
Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu...
9 Reactions
184 Replies
20K Views
Akili ya Mungu ni kubwa sana haichunguziki lakini ametupa sisi wanadamu akili ya udadisi Udadisi wetu mpaka sasa umetuletea majibu mengi sana ambayo mengine yanatutoa knock out kabisa kwenye...
15 Reactions
111 Replies
13K Views
Ni kama kila kitu bado ni fumbo. Si mwanzo wala si hatima ya mtu, maisha ya mtu bado ni fumbo. Kuna hatua muhimu za kujivunia katika kuelewa mwanzo na hatima ya mtu. Lakini, hatahivyo juhudi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilikuwa ni tarehe 13-10-1917 muda wa saa saba na nusu hivi za mchana, wakazi wa mji wa Fatima huko Portugal walikuwa wamekusanyika katika eneo linaloitwa Cova Da Iria, nje kidogo ya mji wa Fatima...
26 Reactions
832 Replies
114K Views
IJUE MITEGO 3 YA KICHAWI Wachawi hutumia mbinu mbalimbali katika kufanikisha mipango yao ya kichawi kwa watu walio kusudia kuwadhuru kwa uchawi. Leo nitaizungumzia mitego mikuu mitatu ambayo...
27 Reactions
152 Replies
75K Views
SALUTE Kwa mara ya kwanza nili introduce kitu hiki kwenye uzi wangu unaitwa "The Joker Film:Jinsi maneno yanayo udhi yanavyoweza kumfanya mtu awe mbaya". Kwenye uzi huu sikwenda ndani zaidi...
25 Reactions
70 Replies
20K Views
UTEKAJI (KIDNAPPING): CHATU ANAYEITAFUNA TANZANIA: Nianze kwa msemo wa Kiswahili kuwa "Chatu ukimfuga ili ameze watu, ipo siku atameza watoto wako kama si wewe mwenyewe". Tukio la kutekwa...
25 Reactions
112 Replies
15K Views
1.MFALME WA VIVULI Sehemu ya kwanza Wakuu naomba niwatafsirie kitabu kilichoandikwa na Michael Bar-Zohar na Nissim Mishal 'The greatest mission of the Israel secret service Mossad'...
16 Reactions
166 Replies
25K Views
Maisha ya hapa Duniani yana siri nyingi sana na yanaonekana kuwa na uhusiano wa Moja kwa moja au niseme Connection na ulimwengu mwingine ambao ni wa siri sana yaani ulimwengu usio wa hadharani...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365...
10 Reactions
12 Replies
2K Views
"Matunda ya kila mti wa bustani unaweza kula mpaka ushibe. Lakini kuhusu matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula,utakufa hakika" (mwanzo 2:16,17) Lakini je...
11 Reactions
156 Replies
26K Views
Uchawi upo au haupo ? Umeshawahi kurogwa ? Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo ? Najibu kaa nayo tu moyoni mwako maana hayanihusu na sio kusudio langu la kuanzidha mada Binafsi siamini...
14 Reactions
143 Replies
103K Views
Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
7 Reactions
43 Replies
12K Views
Kiufupi wao waliamini kila ifikapo asubuhi mungu wa jua huamka na kufukuza giza lote pamoja nyota na mwezi na hivyo kuondoa nguvu zote za giza na kuleta mwanga. Pia waliamini Mungu huyu huwa...
9 Reactions
56 Replies
17K Views
Najua una shauku ya kutaka kujua ni kizazi gani hicho cha wana wa Israeli kinachozungumziwa, anyway tuanze na hili la mzaha kwanza hivi unajua kuwa asili ya baba yetu wa taifa ni MLUO? Ndiyo ni...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Back
Top Bottom