Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,181
- 5,289
Najua una shauku ya kutaka kujua ni kizazi gani hicho cha wana wa Israeli kinachozungumziwa, anyway tuanze na hili la mzaha kwanza hivi unajua kuwa asili ya baba yetu wa taifa ni MLUO?
Ndiyo ni kweli namaanisha na siyo mzaha ni kweli huyu ni mjaluo by origin.
Najua nimekushtua kidogo maana hili hata Madaraka wala Makongoro naamini linaweza washtua japo mama yake wanamuita mama Mgaya(Wakurya mmenielewa)
Swali lingine sasa ujaluo na wana wa Israeli wapi na wapi? Tafadhali usiwe na papara za kukomba mboga ukifikiri unalikomoa bakuli ambalo nalo limekubebea tu lina-wish ushibe; tafadhali ongozana nami:-
WAJALUO
Simulizi za mwanzo wa kabila hili ambazo zimefanywa na wataalamu mbalimbali wa historia na watafiti wa mambo kale wanatuambia kuwa kabila hili asili yake ni huko Israeli toka kwa wana wa Ham ambao baadae walihamia Kusini yaani eneo la Misri ya leo ambapo kizazi hiki kinaonekana kurelate sana na wakushi wakipindi hicho.
Kutokana na jadi ya ukulima,ufugaji,uunzi na uvuvi kabila hili halikuwa na budi ila kugawanyika katika magroup kadhaa wakati wa ku-migrate WAKIFATISHA (LUO) mto NILE(NAM-dilect ya sasa kumaanisha mto) hivyo neno LUO lilitokana na kufuatisha mto Nile (wa-Nilotic) na neno DHO-LUO au JA-LUO umaanisha kabila au mluo hapo naamini umeanza kunielewa.
Sasa hawa watu mwanzoni wakiwa Misri walikuwa bado na light skin japo ilikuwa imeshaanza kuwa chotara due to muingiliano ila baada kuingia Sudan nakuendelea hadi kenya, Tanzania,Uganda,Kongo n.k ile rangi yao ya asili ikamezwa na rangi yetu mujarabu yakiafrika yakuvutia yaani nyeusi tii kiasi cha mjaluo kuwa kinara wa makabila yanayoongoza kwa watu weusi ukanda huu.
Kama ilivyoada kadri unavyozidi kwenda mbali unazidi poteza asili, hivyo dialect standard/proper luo mpaka hivi sasa imebaki kuzungumzwa Kenya na Tanzania tu huku hao wa mataifa mengine let say wakaramanjong,Alur, padhola,acholi n.k wa Uganda na mataifa mengine uongea dialect nyingine yakiluo chenye mchanganyiko na lugha za wenyeji walipo.
Tuliache hilo ebu tuzungumzie LUO proper yaani hizi branches kuu mbili za waluo ambao ni raia wa Kenya na wale wa Tanzania; makundi hayo makuu(A.K.A Jo ramogi au Jo onagi)ni Kiseru, Girango,Sirati, Imbo na other luos.
Sasa hapa kwenye others luo ndipo tunakutana na ukoo wa Jo Kowango or Jo wanga (Jo- usimama badala ya neno watu wa au uzao wa)
Ambapo miongoni mwa watoto wake huyu Kowango ambaye alikwenda na kuoa mluhya hivyo muingiliano huu ukapelekea kupatikana kwa MZANAKI ambapo watu hawa walipovuka mipaka na kuja kuishi jirani na jamii za wakwaya,wakabwa,wakurya wakaanza kupoteza ile asili yao nakuishia kuanza kutambuliwa kama jamii ya WASUBA (Yaani LUO SUBA) sasa umeelewa kwanini nilianza uzi wangu kwa kumtaja Nyerere kuwa member wa kabila hili kiasili.
UPI NI MCHANGO WAO BASI KATIKA MATAIFA YETU YA AFRIKA MASHARIKI KABLA NA BAADA YA UHURU
*NCHINI KENYA; hawa watu walisaidiana na wakikuyu kwa asilimia kubwa kufight ukoloni, ukiachilia mbalimbali MAUMAU 1955's ya kina Dedani Kimathi na mchango wa Jomo Kenyatta kwenye kufanikisha Uhuru huwezi kusahau juhudi za Mzee Ramogi Oginga ambaye inasemekana
ilikuwa ndiye awe raisi ila kwa hekima (alikuwa muumini wa ujamaa na hakuwa na tamaa hivyo ziliiva sana na Nyerere) akampisha Mzee Jomo Kenyatta kutawala kisha makubaliano kijiti kingepokezwa kwa mtawala wa kiluo atakayefata ila kilichokujatokea wote tunakijua mpaka leo ndiyo kwanza mtoto wa muasisi aliyeko madarakani anapanga kurejesha mizani mahali pake kwa kumkaimisha kiti mtoto wa muasisi wa kiluo hatujajua bado kama historia itaandikwa au la.
Kingine watu hawa ni wasomi sana na wako bright wengi wao yaani kiufupi sifa nyingi alizonazo muhaya hawa pia wanazo na ni watani wa jadi, hivyo kutokana na hili wajaluo wanamsaada mkubwa kwa maendeleo ya Kenya hasa pale inapojivunia kuwa na Population Index kubwa ya Human resource Afrika mashariki.
UGANDA; Uko Uganda tunatambua juu ya uwepo wa viongozi kadhaa wa kiluo ambao wengine michango yao iliimarisha taifa na kulishepu kuwa lilivyo leo(Milton Obote)na wengine walileta madhila makubwa na makovu yakabakia ya kihistoria(Iddi Amin Dada)
ZANZIBAR; Bila shaka unajiuliza huku Zanzibar pia mluo anausikaje? Jibu ni rahisi tu kuwa yale mapinduzi tunayoyasherehekea leo hii huko visiwani Zanzibar kuna mluo alihusika pia kama kiongozi I think somebody Okelo if I'm not mistaken mtanishahihisha.
TANZANIA; Kama makabila mengine mluo pia alijumuhika na makabila mengine kabla na baada ya Uhuru kupigania na kulijenga taifa.
Mwalimu Nyerere akiwa muasisi wa taifa hili akuwa mtu wakudharau mambo ya asili na utamaduni hivyo sote tunamfahamu au tulizoea kumwona na kirungu chake ambacho akiachi mahala popote aendako inasemekana haliwai kukiacha mara moja tu mezani mikoa ya kusini akanawa mikono kwa ufundi uliopo huko na akukanyagapo tena, Utamaduni huu na zindiko hili la mataifa haya mawili
namaanisha Kenya na Tanzania(siri ya butiama) ulifanywa na nguli wa mitishamba na rafiki kipenzi wa Mwalimu Bwana Odemba baba yake na mwanamitindo mashuhuri aliyewahi nyakuwa taji hilo la Afrika nakututoa kimasomaso Miriam Odemba ambapo mchango wake ndo moja ya vielelezo vya chini ya kapeti vya amani tuliyonayo bila kuwasahu wale wazee wadaslamu ukiachana na zile sababu zingine za msingi ulizosoma darasani.
Hivyo urafiki wake yule waziri wa ujenzi na mtoto wa huyu nguli wa siasa wa nchini Kenya haukuja kwa bahati mbaya maana ni mwendelezo wa mahusiano yalokuwepo kabla yake, mpaka akafanikiwa kuja kukalia kiti na kama angekuwa hai basi lazima angemsapoti mwaniaji huyu wa sasa kukalia kiti, ila inasemekana kuwa BTM ilimkataa ndiyo maana hakuweza kudumu kitini kwa muda mrefu. Naamini nimeeleweka.
Kuna mengi sana yamefanywa na hawa watu lakini zingine ni siri zibakizo siri can't be revealed here, nimalizie tu na hili unafikiri marekani walikuwa wajinga kuongozwa na mjaluo?
Bila shaka haikuwa ajali hata ukizingatia wakati wa uchaguzi watu walikuwa wakimchukulia trump kama hazimtoshi lakini matokeo ya uchaguzi ule yaliushangaza ulimwengu ndipo baadae
tunakuja kufumbuka macho kuwa kumbe huyu jamaa ni mwisraeli pia so vipi ukiunganisha doti na yule mluo unahisi sababu ni nini? bila shaka ni kule kuwa na damu yenye chembe chembe za u royal blood au wateule ambao ukiwabariki utabarikiwa na ukiwalahani utalaaniwa.
Hivyo usishangae ukiwakashifu waisraeli na wamisri huku marekani yeye akiwa anaziabudu tamaduni zao nakuzianika kwenye chapa,dollar,kuwapa hifadhi na kuwalinda by any means matokeo yake ni mapinduzi ya kiteknolojia na uchumi, dunia nzima tunaishia kutamka neno zee grete amerika.
NB:
References
Historical origins of the Luos by William Robert Ochieng (2002)
The Luo: a legendary history of the luo people of Africa from a biblical perspective: the history of descendants of Jews in the Nile valley who known as the Luo. Author George William Alenyo.
Further observation on Blood groups in East Africa tribes-jstor. Authors A.C. Allison, Elizabeth W. Ikin and A.E Mourant.
The black Jews of Africa history. Religion,identity by Edith Bruder
Proof that Luos lived Alongside the Jews in Egypt During the same period in history. Article; news.cdn.ampproject.org