Kazi ya nywele, kucha, kivuli, damu ya hedhi na nguo za ndani katika mambo ya uganga, uchawi na ushirikina!

TRIPLE H

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
651
349
Wakuu,
Nimeona nije hapa na hii kitu ambayo bila shaka kila mmoja wetu amewahi kukisikia au hata kushiriki ktk matumizi ya vitu hivyo kwenye sayansi ya uchawi.

Mara nyingi ukienda kwa mganga, labda akufanyie dawa ili mtu fulani anayekusumbua akomeshwe, atakuagiza umpelekee nguo ya ndani ya muhusika au kucha zake, nywele, ped, uchote mchanga wa mahali alipokanyaga na mambo kama hayo.

Ukishampelekea mganga vitu hivyo au mojawapo ya vitu hivyo utaambiwa huende uviweke mahali fulani baada ya kuvitamkia maneno fulani fulani (manuizo) na hasa nyakati za usiku.

Sasa naomba wajuzi wa mambo mnijuze hasa, hivyo vitu kutoka kwenye miili yetu vina nguvu gani kiroho? Na huku KUNUIZA huku kuna nguvu gani hasa? Na kwa nini mambo haya mara nyingi yanafanyika USIKU?

Tusaidiane.
 
Mmh...hii dunia hiiii...ina mambo!!
 
@mshana jr alishawahi kuweka uzi akielezea hii kitu

alisema hivyo vyote vinakuwa na DNA ya mhusika ambayo ina taarifa zote za mhusika, hupewa maelekezo maalum ili kukidhi hitaji la mlozi
 
Wakuu,
Nimeona nije hapa na hii kitu ambayo bila shaka kila mmoja wetu amewahi kukisikia au hata kushiriki ktk matumizi ya vitu hivyo kwenye sayansi ya uchawi.

Mara nyingi ukienda kwa mganga, labda akufanyie dawa ili mtu fulani anayekusumbua akomeshwe, atakuagiza umpelekee nguo ya ndani ya muhusika au kucha zake, nywele, ped, uchote mchanga wa mahali alipokanyaga na mambo kama hayo.

Ukishampelekea mganga vitu hivyo au mojawapo ya vitu hivyo utaambiwa huende uviweke mahali fulani baada ya kuvitamkia maneno fulani fulani (manuizo) na hasa nyakati za usiku.

Sasa naomba wajuzi wa mambo mnijuze hasa, hivyo vitu kutoka kwenye miili yetu vina nguvu gani kiroho? Na huku KUNUIZA huku kuna nguvu gani hasa? Na kwa nini mambo haya mara nyingi yanafanyika USIKU?

Tusaidiane.

Umechotwa? Mimi kuna mwanamke alitaka kuchota kivuli changu mchana kweupe. Ile ainame achote kiwiliwili changu akateguka mgongo mpaka leo ni miaka 20 hatembei tena.
 
Hakika tukitoka huku katika kuamini (Uchawi), tutapga hatua ndefu kuliko......(Uganga wa aina hyo hauna ukweli ndani yake (ni utapeli) Wala uchawi wa kuruka juu na ungo kuiba mahindi shamba la jirani au (chuma ulete ni simulizi tu hakuna kingine si vitu halisi). Hakuna hakuna nasema hakuna....ila badala yake sisi tumekua katika jamii inayoogopa bundi,tochi zinazowaka usiku, na hata mtu mrefu ukimuoa usiku (au mtu akivaa nguo nyeupe usiku au nyeusi) kutokanana hali hii imepelekea sisi waafrica Kuendelea Kutshana Na Movie tunazoztunga au kutungwa na wasanii wetu kuhusu Uchawi,uganga na misukule na majini) kutokuelewa kwetu sayansi tumekuwa wajinga hatujui aina ya magonjwa ...leo mtu akienda hospitalin dokta akimpima ipimo vikaonesha Hauna Ugonjwa na huku unaumwa basi (unasema umelogwa) unaenda kwa Mchungaji (mpiga pesa) au m
mganga(tapeli) anakuambia umelogwa na ugonjwa anakuambia aina yake(hawa hawakosi aina ya ugonjwa kwasababu ni waongo hata ukienda huumwi ukiwaambia naumwa unaanza kuombewa au unaanza kuuguzwa ikiwa ni mganga) ila dokta wa mhimbili ni mkweli ndio maana alipopima alikuambia hakuna ugonjwa( hapa wanasaansi mtanisaidia kuwaainishia aina ya magonjwa ambayo hayawez kupimika hosptal au ambayo hayawez kuonekana kwa vipimo vya hosptal) sasa ndugu zangu tumeenda mbali zaidi mtu akikosa kazi basi analaana,amerogwa ana mikosi anamaagano ya mababu) (mimi nimkristo siamin katka uchawi wa aina hii wa kuruk usiku na ungo au chuma ulete na mengine yanayofanana na haya siamini katk laana maana Yesu alipokuja alitukomboa katka utawalawa shetani na kumfunga asiweze kuwapotosha tena watu(Mt 12:29&Ufunuo 20:1-3) lakin badala yake tunapotoshana wenyewe.....tukiziachia hiz tamaduni zetu waafrica hakika tutapga hatua kuleta maendeleo na badala yake hi mitandao ya kijamii itatumika katka kujengana na kutiana moyo sio kutshana na vibwengo tu vya simuliz kutoka kwa wazee wetu waliodanganywa na mganga wao Tukiwa tunapgana na wazungu tuwe tunaimba majimaji bunduki zao zitageuka kuwa maji)))))))) wazungu katka karne ya 18 waliacha kabsa hiz imani za uchawi na ushirikini na wakaanza kutengeneza Viwanda na kuleta maendeleo......sisi tunapoendelea kuambiana Bibi flan anaruka usiku na ungo (afu hujawah kumuona) wao wanatengeneza ndege inaruka usiku na mchana(unaiona na kumuona rubani) nataka kuwaambia ndugu zangu tutoke huku hata watoto wetu tusijewalea katka mazingira ya kuamin ujinga huu................Nb; Shetani sio Mchawi.....Mchawi ni mtu(shetani ni pepo au roho au malaika alioasi) mchawi unamuona(ivo tegemea kumuona akifny mambo yake live) shetani huwez kumuona ivo tegemea kuhsi effect zake pindi akikuvamia) walokole mnielewe hapo (Si kila ugonjwa wa kanguka ni pepo) wapagani mnielewe(Si kila kifo ni laana au mizimu kutaka chakula) wakristo wa medium mnielewe(si kila kukosa kazi ni mikosi) wenye imani high katka Kristo (Shetani hawezi kukaa katika miili yetu maana sisi ni viungo vya Kristo)
 
Baba fungua akili acha ushamba
 
mmh ujeu sometimes naonaga bora nisiamini tu lakin wew ni nan hadi usiamin au mm ni nan hadi nisiamini kitu ambacho dunia nzima inaamini uchawi upo ....wazungu hao hao unaosema hawaamini ndo wanaongoza kuamini hizo nguvu za kichawi....kuhusu movies wao pia wanacheza movies za kichawi tena zinatisha kuliko hata hizi zetu ......kuhusu uchawi wew endelea kumuomba mungu nguvu zake usizione ila kwa waliofanikiwa kuziona hahahahah acha tu...mfano mtu anakwambia kesho huamki na kweli unakufa afu useme haya mambo hayapo wee
 
We we we tulia hivyo hivyo siku ngoja mungu akujaribu kupigwa kombora ndy utaelewa
 
mmh ujeu sometimes naonaga bora nisiamini tu lakin wew ni nan hadi usiamin au mm ni nan hadi nisiamini kitu ambacho dunia nzima inaamini uchawi upo ....wazungu hao hao unaosema hawaamini ndo wanaongoza kuamini hizo nguvu za kichawi....kuhusu movies wao pia wanacheza movies za kichawi tena zinatisha kuliko hata hizi zetu ......kuhusu uchawi wew endelea kumuomba mungu nguvu zake usizione ila kwa waliofanikiwa kuziona hahahahah acha tu...mfano mtu anakwambia kesho huamki na kweli unakufa afu useme haya mambo hayapo wee
😂😂 gani wanaoamini uchawi? acha uongo ndugu sio dunia yote inaaini uchawi sema africa ndio tunaamini uchawi.(unasema mtu anakuambia kesho huamki na kweli unakufa...je! Umejuaje kama umekufa kama kweli umekufa?) okay any way
tuyaache yawatu wasemayo(wew binafsi unamjua japo mchawi mmoja uliomkuta na uthibitsho?)wazungu
 
Back
Top Bottom