Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Angalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu. Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunapozungumzia idara ya Usalama wa Taifa na jinsi imeiangusha serikali yetu na kuweka usalama wa taifa letu hatarini nafasi ya Bw. Apson Mwang'onda haiwezi kupuuzwa. Baadhi ya matukio yaliyotokea...
20 Reactions
174 Replies
48K Views
Salam wakuu Straight to the point... Tumeshuhudia nchi nyingi sana za Africa magharibi uongozi wa juu (Rais) akipinduliwa na Jeshi kuingia madarakani. Miezi michache iliyopita luteni kanali...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari nyingi kwenu. Huwa nafanya jambo hili sana ila sijui nini maana yake... Kuna wakati naamua kuitazama sura yangu kwenye kioo kama sekunde 30 hadi dakika moja baada ya hapo naona sura...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
THE BOOK OF THE DEAD ni jina linalo-mislead ukweli fact ni kuwa hili ni jina la kubambikiwa tu na lilianza kutumika katika karne ya 19, vitabu au kurasa za maandishi haya yalikuwa yakiandikwa...
12 Reactions
92 Replies
13K Views
Kuna vifo vinaendelea kutokea lakini hatuambiwi ni kina nani hasa.... Utambulisho wao hauwekwi wazi... Tunaambiwa tu ya kwamba aidha wanamalizwa au wanamilizana kufuta ushahidi damu ya mtu...
26 Reactions
49 Replies
11K Views
Code of civilization, hii ni siri ambayo inafanya dunia ikalike na kutawaliwa na mwanadamu. Siri hii ni Dini na mafundisho yake yote kwa ujumla. Katika ulimwengu huu wa dunia, kitu pekee...
17 Reactions
66 Replies
8K Views
E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji, Licha ya...
19 Reactions
103 Replies
11K Views
Habari wanajamii. Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini.. Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape...
5 Reactions
24 Replies
8K Views
Ukiniuliza ungependa tuwe na serikali moja ya ulimwengu, mimi ningesema ndiyo kwani ingeweza kupunguza political instabilities ulimwenguni na kuongeza umoja na mshikamano. Mboki na Gaddafi...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. ukimsoma Harith Hasan kwenye" kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" unaona kua wakati wa mapinduzi ya Zanzibar Jemedari mzee Karume alikuwa Dar- es Salam kwa ajili ya usalama wake na...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwenye viunga vya St Peters kutoka 1995 hadi 2005 kinatajwa kuwa ni kipindi kigumu sana kwa Tanzania kufuatia mambo kadhaa wa kadha yaliyofuatana. Mosi ilikuwa nchi haijatengamaa kiuchumi tangu...
13 Reactions
26 Replies
10K Views
BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7...
17 Reactions
160 Replies
25K Views
Niseme tu ukweli kwamba kiasi fulani nakereka na hii imani ya kuchorana chorana na majivu kwa hii siku inaitwa Jumatano ya majivu. Hebu nieleweshwe labda nikielewa ntaiona sawa.. =======...
24 Reactions
181 Replies
42K Views
An alleged secret network of especially nonelected government officials and sometimes private entities (as in the financial services and defense industries) operating extralegally to influence and...
6 Reactions
73 Replies
14K Views
Habari za asbuhi wana jukwaa, niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema je Giants/Majitu makubwa yanayoelezwa kufika hadi futi 45 waliwahi kuishi hapa duniani?? na kama...
28 Reactions
276 Replies
53K Views
Habari, Katika hali ya kawaida leo nimeona tuandike hili kidogo kwamba kwa maandiko Shetani aliasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu, Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza...
18 Reactions
266 Replies
33K Views
15 December 2021 Dr Mpoki Ulisubisya (A former Cardiac Anaesthesiologist) - What caused COVID 19's vaccine to be developed so fast?" Tanzanian's High Commissioner to Canada - Answering...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nianze tu kwa kusema sijui ni kwanini na ni nini katika maisha yangu toka nikiwa mdogo. Nimekuwa na tabia ya kuota nafanya kitu flan na itapita miaka kama mitano hivi au zaidi nakutana na kile...
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Salaam nyingi sana kwenu wadau wa Jukwaa hili linalotumia ubongo mwingi sana huku nguvu za Mwili zikiwa kisoda. Katika mambo ambayo nimewahi kuyafikiria na sikuwahi kupata majibu au kukaribiana...
8 Reactions
35 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…