Habari zenu wakuu.
ukimsoma Harith Hasan kwenye" kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" unaona kua wakati wa mapinduzi ya Zanzibar Jemedari mzee Karume alikuwa Dar- es Salam kwa ajili ya usalama wake na wa kimkakati. baada ya mapinduzi kufanikiwa alirudi zanzibar kupitia bandari ya Kizimkazi na kupokelewa na hayati ubwa Mwaboya ambae alikuwa ni mwalimu wa shule zama hizo.
kwa upande mwengine ukisikiliza simulizi ya mjane wa jemedari Karume anasema wakati mapinduzi yanaendelea mumewe alikua ndani na kufika saa karibu ya alfajir walikuja watu (wanamapinduzi) kumchukua Jemedar hadi studio za Radio ya taifa.
suali kwenu wajuzi wa historia ni upi ukweli katika haya?