Maisha ninayoishi nilishayaota miaka mitano nyuma

Maisha ninayoishi nilishayaota miaka mitano nyuma

TheNinja

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
249
Reaction score
151
Nianze tu kwa kusema sijui ni kwanini na ni nini katika maisha yangu toka nikiwa mdogo.

Nimekuwa na tabia ya kuota nafanya kitu flan na itapita miaka kama mitano hivi au zaidi nakutana na kile kitu nilichoota siku za nyuma na ninakumbuka kama nishaota hili tukio.

Kwa mfano, nishawahi kuota nipo nyumbani kwangu nawapa kuku chakula kwenye kibanda chao,(wakati naota nilikuwa nimepanga) lakini miaka ya baadae nikafanikiwa kujenga na hilo tukio la kuwapa kuku chakula likatoke.

Sasa hali hii imekuwa kwenye matukio mengi mpk najiogopa .

Wadau mnaweza kunisaidia nini hii.

Asanteni
 
The way mimi namini ni kuwa tunapolala
our spirits huwa zinakwenda mbaali na wakati mwingine zinatangulia sehemu mbali mbali
kabla sisi wenyewe hatujafika

ndo maana unaweza kwenda sehemu kwa mara ya kwanza but ikawa kama umewahi kufika

au unakutana na mtu mara ya kwanza lakini kama umewahi kukutana nae before.....
 
Astral Projection.
 
Back
Top Bottom