Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Habari,

Katika hali ya kawaida leo nimeona tuandike hili kidogo kwamba kwa maandiko Shetani aliasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu, Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza Mungu ikiwa yeye mwenyewe alishindwa kukaa na Shetani??😷 Kama alikikuka Matakwa ya Mwenyezi Mungu kwa nini hakumungamizwa???

Jitu limemshindwa mwenyewe katika hali ya kawaida mwanadamu utaweza vipi?????

Tumeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu vipi Shetani aletwe kwetu ikiwa ni kitu cha dakika moja tu asingekuwepo kutukumbusha???

🙏🙏🙏🙏
 
Ni contradiction ya ajabu isiyoeleweka. Mungu kuturushia shetani ina maana hatupendi! Ni kwa nini tunajikomba kwake?? Shetani ni mwerevu kuliko binadamu hata myahudi amenyoosha mkono! Ya nini mateso yote! Mungu binadamu tumekosa nini kututupia hilo joka? Ndio maana wale wajanja wanaomuunga shetani mkono wanapeta hapa duniani! Eeee babu yangu Karl Marx unasemaje huko uliko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utaamini kuwa hiyo hadithi ni ya kweli. Mimi naona hiyo ni hadithi tuu. Anza na kujiuliza wewe ni nini, uko hapa duniani kufanya nini?.
Habari,

Katika hali ya kawaida leo nimeona tunadike hili kidogo kwamba kwa maandika Shetani alihasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu,Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza Mungu ikiwa yeye mwenyewe alishindwa kukaa na Shetani??,Kama alikikuka Matakwa ya Mwenyezi Mungu kwa nn hakumungamizwa???

Jitu limemshindwa mwenyewe katika hali ya kawaida mwanadamu utaweza vipi?????

Tumeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu vipi Shetani aletwe kwetu ikiwa ni kitu cha dakika moja tu asingekuwepo kutukumbusha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamjua shetani au una assumsion zako?
Ni contradiction ya ajabu isiyoeleweka . Mungu kuturushia shetani ina maana hatupendi ! Ni kwa nini tunajikomba kwake ??Shetani ni mwerefu kuliko binadamu hata myahudi amenyoosha mkono ! Ya nini mateso yote ! Mungu binadamu tumekosa nini kututupia hilo joka ? Ndio maana wale wajanja wanaomuunga shetani mkono wanapeta hapa duniani ! Eeee babu yangu Karl Marx unasemaje huko uliko ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Katika hali ya kawaida leo nimeona tunadike hili kidogo kwamba kwa maandika Shetani alihasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu,Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza Mungu ikiwa yeye mwenyewe alishindwa kukaa na Shetani??😷,Kama alikikuka Matakwa ya Mwenyezi Mungu kwa nn hakumungamizwa???

Jitu limemshindwa mwenyewe katika hali ya kawaida mwanadamu utaweza vipi?????

Tumeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu vipi Shetani aletwe kwetu ikiwa ni kitu cha dakika moja tu asingekuwepo kutukumbusha???

🙏🙏🙏🙏

Umetumia vigezo gani kufikia hitimisho lako ?
 
Ni contradiction ya ajabu isiyoeleweka . Mungu kuturushia shetani ina maana hatupendi ! Ni kwa nini tunajikomba kwake ??Shetani ni mwerefu kuliko binadamu hata myahudi amenyoosha mkono ! Ya nini mateso yote ! Mungu binadamu tumekosa nini kututupia hilo joka ? Ndio maana wale wajanja wanaomuunga shetani mkono wanapeta hapa duniani ! Eeee babu yangu Karl Marx unasemaje huko uliko ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitaka nikujibu,kumbe unaleta mzaha nilijua uko serious.

Nipo ....
 
Habari,

Katika hali ya kawaida leo nimeona tunadike hili kidogo kwamba kwa maandika Shetani alihasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu,Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza Mungu ikiwa yeye mwenyewe alishindwa kukaa na Shetani??,Kama alikikuka Matakwa ya Mwenyezi Mungu kwa nn hakumungamizwa???

Jitu limemshindwa mwenyewe katika hali ya kawaida mwanadamu utaweza vipi?????

Tumeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu vipi Shetani aletwe kwetu ikiwa ni kitu cha dakika moja tu asingekuwepo kutukumbusha???
Shetani slitupwa kuzomu sio duniani je? Uliwahi kimuona shetani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Shetani aliumbwa na Mungu
2. Kifo kiliumbwa na Mungu
3. Uhai uliumbwa na Mungu
Uwepo wa Shetani ni mpango wa Mungu ili atupime, Shetani mwenyewe anajua na anamheshimu Mungu na Kumuogopa na watu huwa wanachanganya na kutokuelewa kuwa Shetani hashindani na Mungu bali yupo kumjaribu binadamu na lolote analofanya kwa mtu lazima liwe na kibali cha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom