Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana...
1 Reactions
2 Replies
364 Views
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila...
31 Reactions
100 Replies
15K Views
Watu wengi huamini kuwa mafanikio yanategemea akili za darasani (IQ), elimu au vipaji pekee. Ingawa mambo hayo ni muhimu, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa uwezo wa kuelewana na watu, kujenga...
5 Reactions
7 Replies
526 Views
Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia. Walipata...
10 Reactions
18 Replies
691 Views
Binadamu kama walivyo viumbe wengine kila akifanyacho ni kwa ajili ya kujiweka huru. Huru dhidi ya magonjwa, njaa, huru dhidi ya mipaka yake ya kiasili, kama kuwasiliana bila kujali umbali...
2 Reactions
5 Replies
172 Views
Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku...
10 Reactions
52 Replies
993 Views
Ukivuliwa tabaka zote za kumbukumbu ulizozikusanya kwa miaka mingi, ni kitu gani hasa kitabaki kukufanya uwe wewe? Embu tafakari kwa kina hapa… Huenda unachokiita akili si chochote zaidi ya...
17 Reactions
44 Replies
892 Views
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani. Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na...
2 Reactions
8 Replies
290 Views
Habari za jioni wana-JF, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi...
0 Reactions
4 Replies
220 Views
Habari wadau wa jukwaa hili Bila shaka mko salama Miaka 20 iliopita pale Tanga wilaya ya mkinga zamani Muheza Kata ya Maramba kijiji Cha Maramba kitongoji Cha msumbiji Ilikua muda wa saa Saba...
7 Reactions
24 Replies
678 Views
Gharika ya Nuhu imeacha ushahidi wowote duniani?
13 Reactions
84 Replies
2K Views
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi. Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za...
24 Reactions
130 Replies
88K Views
Mfumo wowote wa utawala huwa unawekwa na watu walioshika uchumi. Upo kuwaserve walioshika uchumi. Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kwenye ukabaila kunakuwa na mabwana(feudal...
5 Reactions
5 Replies
218 Views
Umewahi kujiuliza hii kitu? Basi tujifunze kwa pamoja, kwa wale wajuvi karibuni tusemezane. Viumbe wengi hupata usingizi, kama sio wote. Na katika ile hatua ya Macho Mwendokasi (Rapid Eye...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
UTANGULIZI: Kuna uzi uliwahi kuanzishwa na Ndugu Mwanahabari Huru Ambapo aliwasilisha mambo ambayo Bwana Evarist Chahali aliwahi kuyazungumza kuhusu hali ya Usalama hapa nchini. Japo dhumuni la...
79 Reactions
295 Replies
44K Views
Tunaposoma kwenye biblia, kafara inatafsiriwa kama ishara ya utakaso na msamaha wa dhambi au kufanya mambo ambayo kwa hali ya kawaida haiwezekani isipokua kwa kumwaga damu . Yesu alitolewa...
8 Reactions
35 Replies
19K Views
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku. 👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
2 Reactions
4 Replies
322 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi...
31 Reactions
467 Replies
75K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…