Abdul Najad Faiq
Member
- Jul 13, 2021
- 5
- 4
Na:Abdull Najad Faiq
Heshimu mawazo yangu nitaheshimu mawazo yako tushindane kwa hoja, ndivyo ninavyoweza kuianza makala hii
Ulimwengu tulio nao umeshapitia katika zama nyingi tofauti tangia zama za ujinga katika bara la Ulaya hadi zama za kustarabika, mapinduzi ya viwanda, vita ya kwanza na ya pili ya dunia hadi hali iliyopo hivi sasa
Ulimwengu wa nchi za Magharib ulianza kujitambua na kuamua upande wao baada tu ya kumalizika vita ya pili ya dunia vilivyoanza 1939-1945 na baada ya kuundwa kwa taasisi ya League of Nations mnamo mwaka 1920-1946 ili kuhakikisha amani na usalama duniani hususan kwa nchi za Ulaya ambazo zilikua na migogoro na zilizokumbwa na vita kwa kipindi hicho kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa UN(Umoja wa Mataifa)
Taifa la Marekani lilibuka kuwa super power of the world baada tu ya kumaliza kwa vita ya pili ya dunia kutokana na kwamba halikuathirika na vita zote mbili badala yake lilifanya biashara na nchi mbali mbali wakati wa vita ikiwemo kuziuzia na kuzikopesha nchi zile bidhaa za chakula pamoja na zana za kivita,hii ilipelekea pia Marekani kuwa na sauti dhidi ya nchi za Ulaya sababu nchi nyingi zilikua zina madeni ya Marekani hivyo ikawa ni rahisi kusikizwa hata pale taifa la Marekani lilipozishurutisha nchi duniani kukomesha biashara ya utumwa
Hapo mwanzoni taifa la Marekani lilijengea sifa na heshma kubwa duniani kutokana na kusimamia sera yake ya haki na amani duniani hali iliyopelekea nchi nyingi za Afrika ambazo zilikua zikipigania uhuru wake kwenda kuomba msaada kwa Marekani
Ila ulimwengu ulikuja kugeuka na kuhitaji mabadiliko pale tu taifa la Marekani lilipokuja kupoteza mwelekeo wake wa kusimamia haki duniani na kujikuta wao ndio wavunjifu wa haki na ndio mwanzo wa kuzidondosha serikali mbali mbali madarakani duniani pale tu walipokataa kulinda maslahi yao
Miongoni mwa serikali ambazo Marekani aliweza kuzidondosha ni pamoja na serikali ya Sadam Hussein wa Iraq,Muamar Gadaf wa Libya,Mullah wa wa Afghanistan kabla ya Marekani kushindwa vibaya nchini Afghanistan na kulazimika kuwaondosha wanajeshi wake mwaka 2021 kufuatia uvamizi wao wa kijeshi nchini humo tangu mwaka 2001
Undumi lakuwili wa Marekani pamoja na washirika wake nchi za ulaya ndiyo sababu iliyopelekea leo hii ulimwengu kuhitaji kugawanywa pande mbili na kuwa na nguvu mbili tofauti mfano uanzishwaji wa jumiaya ya BRICS pamoja na mkakati wa kuanzisha mfumo mpya wa malipo na kuachana na ule mfumo ulioanzishwa na nchi za magharibi yaani SWIFT unaotumiwa na bank mbali mbali duniani,Afrika nayo inajiandaa kuanzisha mfumo wake wa malipo utakao julikana kama PAPSS ambao utatumia sarafu za nchi za Afrika na kuachana na matumizi ya Dolla ya Marekani hii ni dalili nyengine inayothibitisha kwamba ulimwengu hauhitaji kuburuzwa na nchi za magharibi tena
Vilipotokea vita baina ya serikali ya Gadafi na vikosi vya waasi Marekani ilisimama na waasi wa Libya na kuwasaidia kumdumaza Gadafi kwa kuweka no fly zone,onyo ambalo linazuia kusiwepo mashambulizi yoyote ya anga kwa majeshi ya Gadafi hali ambayo ilimpelekea Gadafi kurudi nyuma kinguvu hadi kuuwawa,swali la kujiuliza ni nani aliyekua nyuma ya waasi wale?
Ulimwengu wa magharibi umekua hauupi uzito ubinadam wa nchi za Afrika na Asia kama vile inavyo yapa uzito matukio yanayo athir nchi zao mfano Ukrain inapokea misaada ya kijeshi na pesa ili kupigana vita na Urusi lakini katu Congo haijawahi kupata hata robo ya msaada huo ili kuwasambaratisha waasi wa M23 wanao waua wananchi zaidi ya kupelekewa vikosi vya umoja wa mataifa viende vikaibe rasilimali na kutuliza mvutano
Hakuna tofauti kati ya waasi wa Libya waliokua wakiungwa mkono na Marekani na wanamgambo wa Hamas isopkua ni ndogo tu waasi wa Libya walipigana kupindua serikali na wanamgambo wa Hamas wanapigana kusimamia uhuru wa nchi ya dhidi ya kukaliwa kimabavu na Israel
Daima nitakubaliana na kila hoja inayotupeleka katika haki kwa wote bila ubaguzi duniani lasivyo hunabudi kukubaliana na mimi kwamba NILAZIMA ULIMWENGU UGAWANYWE KATIKA PANDE MBILI.