Prayer is an act of doubt, not faith

Infropreneur

JF-Expert Member
Aug 15, 2022
5,246
10,718
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.

A person who prays is the one who thinks that God has arranged matters all wrong, Also who thinks that he can instruct God how to put them right.

This means that,

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
 
True brother,....Mimi huwa sipray always huwa naiachia fate🤷
 
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.

A person who prays is the one who thinks that God has arranged matters all wrong, Also who thinks that he can instruct God how to put them right.

This means that,

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
big nonsense ever!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Umepata false doctrine ya Prayer.
Prayer sio kusema nipe ,naomba, nisaidie ts beyond that amigo. Prayer ni mode of communication, fellowship btn wewe na muumba wako. Kuna modes nyingi sanaaaaaaa za Prayer, hata wewe uwa una fanya prayer sanaa but wamekudanganya walio kudhidi akili na kukucheza.

Wewe unaiongelea Asking, hata hiyo concept ya asking umeiongelea in poor way sanaa, nenda kale tena doctrine vizuri ya Atheist usile nusu nusu.

Penye ku ASK bible ilisema neno asking,penye praying ilisema piaaa. But Asking Ni sehemu ndogo sana ya praying.

Mfano.

Waefeso 3:20
[20]Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;
Now unto him that is able to do exceeding abundantly above all that we ask or think, according to the power that worketh in us,

Hii inakuonyesha wazii kuwa mengi unayoyapata hukuenda ku ASK kwa kinywa ukajibiwa bali ilikuwa just thoughts, enheeeee yeah thoughts hizo anazijibu.. Anyway nenda kale doctrine Mkuuu
 
Umepata false doctrine ya Prayer.
Prayer sio kusema nipe ,naomba, nisaidie ts beyond that amigo. Prayer ni mode of communication, fellowship btn wewe na muumba wako
Muumba huyo hayupo.
. Kuna modes nyingi sanaaaaaaa za Prayer, hata wewe uwa una fanya prayer sanaa but wamekudanganya walio kudhidi akili na kukucheza.

Wewe unaiongelea Asking, hata hiyo concept ya asking umeiongelea in poor way sanaa, nenda kale tena doctrine vizuri ya Atheist usile nusu nusu.

Penye ku ASK bible ilisema neno asking,penye praying ilisema piaaa. But Asking Ni sehemu ndogo sana ya praying.

Mfano.

Waefeso 3:20
[20]Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;
Now unto him that is able to do exceeding abundantly above all that we ask or think, according to the power that worketh in us,

Hii inakuonyesha wazii kuwa mengi unayoyapata hukuenda ku ASK kwa kinywa ukajibiwa bali ilikuwa just thoughts, enheeeee yeah thoughts hizo anazijibu.. Anyway nenda kale doctrine Mkuuu.
Kwa nini Uhitaji kuomba?

Je Mungu huyo hajui mahitaji yako anayo paswa kukutimizia?

Mpaka uanze kusali kumuomba?
 
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.

A person who prays is the one who thinks that God has arranged matters all wrong, Also who thinks that he can instruct God how to put them right.

This means that,

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
May God Forgive you..

that is Blasphemy
 
Screenshot_20230929_171758_Pinterest.jpg
 
Zaburi 14:1
"Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu"
Mithari ya Suleiman
" Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu pamoja na ngano(ngano itakoboka lakini) upumbavu wake hautamtoka"
Atheists 12:4
" Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu"
Maana huamini visivyo kuwepo.
 
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.

A person who prays is the one who thinks that God has arranged matters all wrong, Also who thinks that he can instruct God how to put them right.

This means that,

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.

Wachache watakuelewa,kama wanaamini mungu ndie anayejua mwanzo na mwisho,kwanini kuhangaika kuomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom