Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,139
DALILI ZA MTU KUA NA UCHAWI MWILINI.jpeg


DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI
Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka kutekeleza jambo lao. Nimekuwekea dalili za kufahamu kama una uchawi mwilini mwako.
Kuota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa.
Kujikuta umechanjwa chale au mikwaruzo mwilini.
Kuota unalima na asubuhi unaamka umechoka.
Kuhisi vitu vinatembea mwilini kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo.
Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa.
Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa.
Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo.
Kuingia kwenye hedhi bila mpangilio na kwa shida.
Kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama.
Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani.
Kuota uko makaburini, msituni, chooni au bafuni mara kwa mara.
Kusinzia sana wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi.
Uume kurudi ndani na kuwa mdogo kama wa mtoto au bamia na hali ilikuwa na urefu wa wakawaida.
Kuzama kwenye matatizo ya kimaisha na mikosi inakuwa kama ndio sehemu ya maisha yako.
Kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya.
Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari.
Kupenda anasa za Dunia kama vile kuzini, kulewa mpaka kufikia hatua shetani anakuwa anakuendesha anavyotaka.
Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla.
Kumchukia mke au mme na kumuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati mwingine wanamuona mzuri sana.
Choo kinakuwa kigumu hata kama unakula matunda na unajisaidia kinyesi kama cha mbuzi kwa tabu na muda wote.

Dalili zingine za Mtu Mwenye Uchawi Mwilini
Hizi Dalili ninazozitoa kama Unazo maanake wewe Mwenyewe Unatatizo bila Kujijua

1: Kuota ndoto za ujauzito Mara kwa Mara( Nitakuja tena na Ndoto nyingine
2: Kunyonyesha au kujifungua( Japo ndoto hizi pia zinaweza zikawa ni Spiritual HUSBAND/WIFE)
3: Kuota unakimbia na kupaa au kuelea angani
4: Kuota una shambuliwa au kufukuzwa na wanyama wakali
5: Kuota majoka
6: Kutopenda kukaa na watu, kupenda kuwa peke yako
7: Kulala hivyo ama kukosa usingizi bila sababu za msingi
8: Maumivu makali ya kichwa yasiyo sikia dawa hospital
9: Kuwa na ganzi /mwili kufa ganzibila sababu za msingi
10: Kuota kufa au kuzikwa
11: Kuota watu walio kufa
12: Kuwa na Maumivu ya kuhama hama
13: Kuota watu wa ajabu, warefu sana ama wafupi sana
14: Kuchukia manukato ama harufu fulani kutopenda usafi au kuvutiwa na harufu fulani tu
15: Kuchukia kabisa tendo la Ndoa
16: Kukasirika hovyo hovyo
16: Kukosa amani unapo kaa,kuhisi watu nyuma hali hawapo/Kuhisi Sauti
18: Utokewa na watu na kukupote
19: Kuwa na mwili wa kustuka stuka ima kusisimka
20: Kwa mwanamke kukosa hedhi au kupata bila mpangilii japo kunaweza kukawa na Sababu nyingine za Mwanamke kukosa hedhi ila sababu Moja wapo ni hii ya Uchawi
21: Vitu kutembea tumboni tumboni kama mjamzito au kuhisi kama Nyoka Anatembea tumboni au Mgongo
22: Kuota unalima au kufanya shuhuli nzito na kuamka mwili wote unechoka
23: Kuwa unavimba,kuwasha,kuumwa maziwa kama mjamzito
24: Kuwa na mwili unawaka moto ama barafu mwilini
25: Kusikia kama upepo unavuma masikioni au filimbi au miluzi Mikali masikioni
26: Kuota Unakula nyama Mbichi au Damu mbichi
27: Kuota unapigana na Watu ndotoni mpaka Unawaua au Kuwa choma visu Mpaka unaua.

Hizo ni baadhi ya dalili kuu za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini wanaokusumbua kichawi. Ikiwa umejiona una dalili mojawapo kati ya hizo Mtafute Mtaalam ili apate kukutibia haraka iweze kanavyo.
 
Yaani umetaja mambo yote Dunian. Kiasi kwamba inawezekana wachache sana ambao sasa hawana uchawi. Kinachofuata ni watu kukufuata private uwasaidie dawa. Hapo ndo unaenda kuwaliza. HII MBINU MIMI NLIITUMIA KWA MARA YA KWANZA MWAKA 2003 NA NLIWAPIGA SANA PESA MAFALA.
 
Utapeli mtupu, wewe mwenyewe hukosi kuwa na dalili mojawapo katika hizo ulizoorodhesha, anza kujitibu mwenyewe kwanza kabla hujatuletea magumashi yako.
Kaka sijakulazimisha U comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PhD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PhD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta na njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom